Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nifundisheHujui kuandika kwa paragraph ama?
Watafanyaje??Haha mtapata tabu sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] watanzania bhana,kumbe siyo wanawake tu mkituambia ukweli sometimes tunahic uongo,tukiambiwa uongo tunaamini ndo ukweli,mkiambiwa ukweli hamtaki haha ngoja niendelee kupokea mawazo yenu.Duh, nakumbuka tukiwa shule barua zilikuwa zinasomwa dining, wale tusioandikiwa barua sometimes tunajiandikia tunampa msomaji anaisoma.
Kabisa!Haha mtapata tabu sana
Mkuu usijishtukie, kwa JF haya madongo mbona ni ya kawaida.[emoji2] [emoji2] [emoji2] watanzania bhana,kumbe siyo wanawake tu mkituambia ukweli sometimes tunahic uongo,tukiambiwa uongo tunaamini ndo ukweli,mkiambiwa ukweli hamtaki haha ngoja niendelee kupokea mawazo yenu.
Yapokee yapokeeee tuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] watanzania bhana,kumbe siyo wanawake tu mkituambia ukweli sometimes tunahic uongo,tukiambiwa uongo tunaamini ndo ukweli,mkiambiwa ukweli hamtaki haha ngoja niendelee kupokea mawazo yenu.
Haya mkuu kumbe watani wa jadi eeMkuu usijishtukie, kwa JF haya madongo mbona ni ya kawaida.
Tunakutania tu.
Au unajitumia kadi!Duh, nakumbuka tukiwa shule barua zilikuwa zinasomwa dining, wale tusioandikiwa barua sometimes tunajiandikia tunampa msomaji anaisoma.
Hata siku inatosha kuelezea kuliko hayoMwezi mmoja tu ushaongea yote haya?
Katib mkoa na mambo ya muhimu peleka huko jukwaa la siasa na mengineyo yafananayo na hilo au hauja soma MMU inataka vitu gani hapa ni mwendo wa mapenzi.....karibu love connect katib mkoa omba nawe nyota ikuangukie.Watu tunadiscuss mambo ya muhimu wewe unatulete mambo ya chumban kwako sa sijui tukueleweje
Kwanza shida yako hasa ya kuandika haya ni ipi?
Aaaa Sanaa umenipatia mulemule kitu u hair.kumbe bado kadada eeehhh[emoji1]View attachment 835531
Tena maskini haswaa mbaka kwenye kuchaMaasikini tajiri hajitangazi