Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mm rafiki yangu mkubwa mzigua na rayna ukiona wengine ujue tunajuana kijukwaani tu kama mzigua kasababisha hayo itabidi nimuulize vizuri imekuwaje jamani aweke picha zako jf jamani
Ile post niamini mie haikuwalenga nyie hata ilinilenga mie maana usiku kama wa saa 7 hivi mtu aliweka picha zangu jukwaani sema zikawahiwa kutolewa asubuhi ikaja ile ile lengo ilikuwa ni kuniprovoke ila nayo tukailia pini halafu ni mdada tu tena rafiki yenu mkubwa tu namuona mshamba tu fala mmoja tu.Yaani mtu akizoea drama humu na kuchimba maisha ya watu na kila mmoja kujifanya anajua kila kitu nakujiona anajua kumbe akili zenyewe za darasa la 2 namdharau tu
 
Kumbe ulipostiwa, duh nlichelewa
 
Putin usinicheke bana mimi nakuelea ila saa zingine unaniangusha sana unaelewa unaniangusha sana
Usijali shida ni pale tunapotofautiana majukwaan.

Unajua inshu ipo ivi, Nyuzi zangu zote huwa naandika kwa hisia zangu. Huwa sizidirect kwa mtu wala nn.

Naandikaga kwa kukazia nmezaliwa ivo. Sinaga lugha ya kuzunguka sana.

Naandika vile navyoamin mimi ,nasiandiki nikihofu nani na nani watafurahi au watacheka .

Sasa unakuta mtu ,nyuz zangu anachukulia nmemuandika yeye, basi atakuja kukoment na hasira?? Mtu wa ivo nmfanyeje??? ...mwingine ndo kabisaaa anaenda mbali anaanza kutumia ya PM kuniattack?? Mtu wa ivo HAITOKAA ITOKEE NIMUACHE !!

Amu weee nakuelewa mtu wangu !! Nakuelewa sana mjori
 
Hakohako kalikochakaa ndo usingizi wangu,hujiulizi inakuwaje kichaa anapata mimba na anazaa,au haujawahi ona vichaa me na ke wanaishi pamoja hata jalalani na wanazaa kitu upendo tu,ukiona wanini wenzio wanawaza watampata lini.
Umejishindia coca ya buure ya baridi lkn lazima uinywee hapa hapa

Sina maneno mingi mrembo we ndo unaejua thamani ya ulichonacho usihadaike na walimwengu hawana jema hawa wala usisumbuke kuwaaminisha au kubadili mawazo yao
 
Usijali shida ni pale tunapotofautiana majukwaan.

Unajua inshu ipo ivi, Nyuzi zangu zote huwa naandika kwa hisia zangu. Huwa sizidirect kwa mtu wala nn.

Naandikaga kwa kukazia nmezaliwa ivo. Sinaga lugha ya kuzunguka sana.

Naandika vile navyoamin mimi ,nasiandiki nikihofu nani na nani watafurahi au watacheka .

Sasa unakuta mtu ,nyuz zangu anachukulia nmemuandika yeye, basi atakuja kukoment na hasira?? Mtu wa ivo nmfanyeje??? ...mwingine ndo kabisaaa anaenda mbali anaanza kutumia ya PM kuniattack?? Mtu wa ivo HAITOKAA ITOKEE NIMUACHE !!

Amu weee nakuelewa mtu wangu !! Nakuelewa sana mjori
Sasa utakosa michuchu humu shauri yako
 
Back
Top Bottom