Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Duh kwa Shayo hapa JD inabidi tu tuagize ,pale kwa Adela shoppersJD tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa Shayo hapa JD inabidi tu tuagize ,pale kwa Adela shoppersJD tafadhali
Tupo wengi Demiss ujue... maisha yetu yanarevolve huku.Kuna watu wanategemea Jf akiii hahhahaha uwiiii mburaaaah
Hamna shakaDuh kwa Shayo hapa JD inabidi tu tuagize ,pale kwa Adela shoppers
Aiseee nimeamini kwamba kuna watu wanapenda attention hahahha sasa nasemaje kukaa kimya nako ni njia mojawapo ya kuua aduiTupo wengi Demiss ujue... maisha yetu yanarevolve huku.
Kwa uandishi huu inaonesha hata kichwan mwako hazikutoshi..Natumai mu wazima wa afya,kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na afya,namshukuru pia kwa kunipatia vlad, wengi mlinibeza na kutoa maneno makali lakini nashukuru pia kwa mlioniunga mkono juu ya kuweka wazi hisia zangu,nimempata aliye sahihi kwangu chaguo la moyo wangu,Mtu ambaye nilikuwa naomba kila Siku nimpate mwanaume mwenye hofu ya Mungu,msikivu,mwenye kujali,na anayejua mwanamke wake anapenda nn, japo hapa wengi mtabeza kwakuwa mshamzoea Vlad in Mtu wa kuponda na anayeonekana tofauti ni hivi ukimpenda Mtu mtazame yeye kama yeye mjue kiundani sio kwa comment zake wala kwa nyuzi zake za Jf,bali kwa matendo yake unayoyaona,nakupenda Vlad wangu mapenzi makubwa unanionyesha, zawadi pekee ni kuendelea kukupenda,kukujali na kukuheshimu,kuwa proud kokote coz am all yours!!najua ushawahi kuwa na mahusiano kabla hujakutana nami,pengine hukupata chaguo sahihi,Mimi ndo chaguo lako sahihi wacha wakatae,wapinge ndo ishakuwa hakuna namna,wasiopenda watapata tabu sana....................................................Najua upo na utasoma ujumbe wako huu love you my putin(mshkaji wangu,rafiki yangu,mtunza vyangu visiri mwenye kunisitiri,fundi mitambo wangu[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] NB;Usidharau sauti yako,usidharau hata wazo lako unaloliona ni la kipuuzi,tena kwakuwa ni la kipuuzi huenda wengi hawafikirii kulifanya hiyo ni faida simama nalo,tunawaza makubwa sana ama Yale ambayo tayari yamesha fanikisha wengine,kama sauti yako inakusukuma kufanya jambo hata kama halijawahi kufanywa ama limefanywa na yeyote lifanye kuna kitu ndani yake, dunia inabadilika kila iitwapo Leo,na mahitaji yetu yanabadilika kutokana na mazingira ,usisubiri watu wagundue ndo ufate "KUWA WA KWANZA WAKUFATE" hebu niambie in wazo gani uliwahi kuwa nalo likadharauliwana sasa imekuwa ni kitu kinacho kupigisha hatua au kitu kikubwa kwenye maisha yako!??? Mlopita wake wenza mtaniwia radhi pengine hamkujua thamani yake mm African princess naijua............Nawasilisha. Mrs Vlad.
Aiseee nimeamini kwamba kuna watu wanapenda attention hahahha sasa nasemaje kukaa kimya nako ni njia mojawapo ya kuua adui
Karibu, anatuma MTU kwa Adela akachukue,sasa achukue kubwa au ?nn kingine kinahitajikaHamna shaka
Which head bro??
Kubwa ile na ice na maji...Karibu, anatuma MTU kwa Adela akachukue,sasa achukue kubwa au ?nn kingine kinahitajika
Hahaahahhahaaaa.The ‘gals dem sugar’ head!
Kuna watu wanategemea Jf akiii hahhahaha uwiiii mburaaaah
Ewaaah umeona eeeh unamkaushia tu kimyaaa unaendelea na habari zakoo inaumajeeeYani mi mtu akinikalia kimya a.k.a kaniignore ndo ananiongezea maumivu kuliko akinijibu😀😀😀
Niliposoma hiyo thread ndo nilijua you are one person.
1. Huwezi kuandika para 5 bila kuweka sentensi zenye herufi kubwa (kupayuka);
2. Huwa mara nyingi sana unaweka vituo mahali siyo, huweki nafasi baada ya vituo vidogo na vikubwa, unaweza kianza sentensi kwa herufi ndogo; na
3. Huwa hujui kufupisha, kitu cha kutumia maneno mafupi unazunguka nacho sana.
NB: Unapenda sana attention kama watoto wa kike.
Kabisa sema watu wasiojielewa wanadhani kwamba Jf ndo kila kitu alafu mm sipendi masifa ya kujifanya unawajua watu wote wa Jf ili iwejee watu mbn wanatujua sana lakini wamenyamaza wakija huku akuuuu mnafurahi kama kawaidaa lakini mengine khaaa likijua Demiss ndo huyuu wewe likija huku linakuwa kama redio clouds matangazo kila saaa mburaaaahHiyo yawezekana ikawa ni kweli aisee.
Kipindi JF imepigwa ban kuna mtu alinicheka na akasema kwamba eti sitopata tena wachuchu.
I was like, whaaat....I get more pussy elsewhere. JF ain’t nothing to me.
Hahahahahahaaaaaa. Unanisema au??Hiyo yawezekana ikawa ni kweli aisee.
Kipindi JF imepigwa ban kuna mtu alinicheka na akasema kwamba eti sitopata tena wachuchu.
I was like, whaaat....I get more pussy elsewhere. JF ain’t nothing to me.
Hahahahahahaaaaaa. Unanisema au??
Jana na leoTunaosoma comment tukutane hapa.
Anhaaaa..Hukuniambia wewe bana...aliniambia mwingine.
Ile thread ulisema nikuandikie umeghairi?Mkuu unaongea points..
Hakuna mtu anayechukiwa kama mtu anayeaongea ukweli.
BTW mimi humu sina kikundi wala urafiki nna mtu..