Mrejesho wa kheri, nimempata wangu

But take care, these jf men wengi waongo am writing from experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri more mirejesho, na siku sura ikivimba ikashindwa kujaa kwa camera.
 
Duuuuh!! Pole sana mama.

Naona mrejesho ni bora uje mkiwa tayari wanandoa maana anything can happen.
Ila wanaume wa humu mbona wanalalamikiwa sana!! Something is wrong aisee!!
 
Pole sana bibie ndo mzunguko wa maisha huo wala usichukie ukajipa doa sahau hilo angalia mengine tena bila kufananisha mabaya na mazuri yote yanatuhusu sisi wanadam.
 
Duuuuh!! Pole sana mama.

Naona mrejesho ni bora uje mkiwa tayari wanandoa maana anything can happen.
Ila wanaume wa humu mbona wanalalamikiwa sana!! Something is wrong aisee!!
Halafu hii kauli hii kwani wa humu wapoje na wengine wapoje?
 
Uh!! Mnajijua bwana.
Lakini uovu haufanywi na wa humu tuu uovu upo popote msitishe watu kama vile wa humu wamewekewa uzio yani tabia mbovu tu hapana ni bahati tu ya mtu yani kama ilivyo mtaani chochote hutokea.
 
Lakini uovu haufanywi na wa humu tuu uovu upo popote msitishe watu kama vile wa humu wamewekewa uzio yani tabia mbovu tu hapana ni bahati tu ya mtu yani kama ilivyo mtaani chochote hutokea.
Hapa umeongea mkuu kwani wa jf hawaendagi sehemu nyingine wanaishi jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…