Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

Joined
Sep 10, 2024
Posts
9
Reaction score
9
Habari za muda huu wakuu,

Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi)

Kwa muda wa miezi miwili sasa nimeweza ku save 1.5ml na utakuwa utaratibu wangu kila mwezi kusave kiasi fulani.

Hapo awali sikuwa na utaratibu wa kuzingatia pesa ndogo ndogo kama naweza kuzisave bank but toka nimejiunga n UTT AMIS kila pesa nayokutana nayo hata iwe ndogo nakumbuka kutunza kiasi kwa huu mfuko wa UTT AMIS.

Ushauri wangu ni kwamba naona ni rahisi kukuza mtaji kwa kusave hela ndogo ndogo mara nyingi kwenye huu mfuko.

Changamoto ninayopitia tangu weekend iliyopita ni kushindwa ku-loggin kwenye account yangu kupitia mobile App, nimejaribu kupiga simu customer care bila mafanikio sasa sijajua wenzangu kwenu vipi ama ni kwangu tu shida ipo.

SHUKRANI ZANGU ZIWAENDEE WOTE WALIOTOA MAONI POSITIVE KUHUSU HUU MFUKO WA KUKUZA MTAJI
 
Tayari wametoa notice mkuu
IMG_5774.jpeg
 
Mkuu hivi nikiuza hi nyumba ya urithi nikiweka around 500m ntapata ngapi kila mwezi?
 
Hivi ni kiasi gani ambacho ukiwekeza unaanza kupata faida kila mwezi au hata milioni 1-5
 
Wakuu,, hivi ninaweza kuweka kuanzia Liquid fund kupitia NMB Bank...?
Hiyo huduma wanayo..?
 
Liquid, wekeza maisha , umoja. Na watoto yote hii ni mifuko ya kukuza
Mtaji.... hakuna gawio la mwez wala mwaka..

Jikimu wana gawio la kila robo mwaka
Ila hii mifuko inayotoa gawia inakuwa na kuanzia kikubwa sana..?
 
Back
Top Bottom