Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

Ila hii mifuko inayotoa gawia inakuwa na kuanzia kikubwa sana..?
Mostly kuanzia 5m unaweza ukaanza kupata gawio la mwez.. chini ya hapo wanakuwa faida yako wanairudisha kwenye mtaji wako iendelee kukuza mtaji.. ila kuanzia unaweza ukaanza hata na 10k kuwekeza
 
Elimu
Elimu
Elimu
Muhimu kwa kila jambo llte la kimaendeleo.
All the best
 
Vipi wakuu APP kwenu imetulia sahz au bado. Mimi nashindwa kulogin.
 
Hii mifuko ni mizuri sana mtu ukiwa na mzigo mwingi kuanzia 100m+
Sio hivyo mkuu..inategemea na Mipango yako.

Kwa ulivyo sema ni kama mtu ana malengo ya kupokea gawio kwa mwezi.

Wapo wenye malengo ya kusave kiasi mwezi ndani ya Miaka mfano 5, 10 n.k hawa nao wanafaidika kwa nafasi yao.
 
Back
Top Bottom