Mostly kuanzia 5m unaweza ukaanza kupata gawio la mwez.. chini ya hapo wanakuwa faida yako wanairudisha kwenye mtaji wako iendelee kukuza mtaji.. ila kuanzia unaweza ukaanza hata na 10k kuwekezaIla hii mifuko inayotoa gawia inakuwa na kuanzia kikubwa sana..?
Mh utakuwa na chamgamoto binafsi mie walau kila wiki mara mbili naingia. Mara ya mwisho jana..Vipi wakuu APP kwenu imetulia sahz au bado. Mimi nashindwa kulogin.
Sio hivyo mkuu..inategemea na Mipango yako.Hii mifuko ni mizuri sana mtu ukiwa na mzigo mwingi kuanzia 100m+
Nami nataka nijiunge huko ngoja niendelee kujifunza
Elimu
Elimu
Elimu
Muhimu kwa kila jambo llte la kimaendeleo.
All the best