Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

Dah pole sana na hongera kwa kusonga mbele.

Ila umeniacha hoi kimtindo kusema kuwa mwanaume wako alitakiwa kuwa anakumbhka siku muhimu "birthday, valentine na vifo" hii si sawa.
Kwamm ilikuwa na maana sana especially cku ya kifo ya baba mama yangu...uwa inakuwa ngumu sana kwangu....sio vitu vya lazima ila ni vizuri ukivitilia maanani
 
Kwamm ilikuwa na maana sana especially cku ya kifo ya baba mama yangu...uwa inakuwa ngumu sana kwangu....sio vitu vya lazima ila ni vizuri ukivitilia maanani
Hilo ni tatizo, ugumu unajiwekea mwenyew, kwasbb hakuna atakaebak dunian maisha mengie ni lazm yaendelee, usiiishi in the past. Wewe unaisha in the past
 
Duh!! Pole sana, nakuonea huruma, nimesoma kwa masikitiko, sijawahi kuvumilia mateso ya mtu, nimejisikia vibaya sana.

Laiti kama ningekuwa SIJAOA, leo leo ningeomba uwe mpenzi wangu, bika kujali hali yako ya kiafya, nikutibu haya majeraha yako, ningetamani hata tuwe marafiki, lakini hata urafiki hauwezi kuziba pengo la MPENZI

POLE SANA MAMII
 
Duh!! Pole sana, nakuonea huruma, nimesoma kwa masikitiko, sijawahi kuvumilia mateso ya mtu, nimejisikia vibaya sana.

Laiti kama ningekuwa SIJAO, leo leo ningeomba uwe mpenzi wangu, bika kujali hali yako ya kiafya, nikutibu haya majeraha yako, ningetamani hata tuwe marafiki, lakini hata urafiki hauwezi kuziba pengo la MPENZI

POLE SANA MAMII
Bro una feli wapi, dini Ina ruhusu beba jiko.
 
Mara nyingi tumekuwa tukitegemea kupata Faraja kutoka Kwa watu wetu wa karibu hasa unapopitia changamoto ya uchumi, kuumwa, kumpoteza mpendwa wako ama siku haijaenda vzr ......

Kikubwa nikupe pole madam, pole sana

Kujipenda, kujipongeza, kujiona you are the best kabla ya yeyote ni muhimu sana, unampa mtu akili, moyo, nguvu na Mali zako hathamini,

Hivyo vyote vihamishie kwako binafsi,

Ikifika wakati wa kumpata umtakaye utampata na tyr una somo kabla hutoumia Tena,
 
Back
Top Bottom