Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

Pole sana binti, na wala usijari kuhusu huyo mwanaume ambae ulimpa nafasi na ameichezea. Pia unaweza pata mwanaume ambae ni -ve na mkaoana na mkazaa watoto ambao wako 100% ok. Mtahitaji tu kumuona daktari wa mwaswala hayo ili ampe elimu pia na jinsi gani mnaweza kuishi na kupata watoto bila yeye kuambukizwa. Sikupi pole ila nikupe hongera kwani Mungu amekuokoa, hakutaka uwe na mtu ambae atahatarisha zaidi afya yako.

Take this to do list kwenye attachment udeal nayo kwa sasa Zagiara
 

Sio yeye anazijua...mm ndo huwa namwambia kulingana na cku ucka na alizipa kipaumbele sana ila birthday alikuwa anaijua....anyway asantee
Asante sana. This is so beautiful...ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…