Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Kwani wewe sio K dinda? 😹😹Aahh.. kmmke walai, we binti usinifanye mie nionekane KIBORODINDA 😂🤣
PROJECT ya UZAO wa GROUP O si uliikataa wewe 😂🤣
Kwani wewe sio K dinda? 😹😹Aahh.. kmmke walai, we binti usinifanye mie nionekane KIBORODINDA 😂🤣
PROJECT ya UZAO wa GROUP O si uliikataa wewe 😂🤣
Huo ugonjwa ni poa tu, watu wana miaka 30 wanaishi nao,mpaka wengine wanakuja kufa na kugongwa na gari. labda shida ni zile tembe tu za kila sikuAcha visingizio sema unaogopa minyenyere 😹😹
HAPANA sina tabia chafu hizo ...Kwani wewe sio K dinda? 😹😹
Dah kudadadeki 😂 😂, I mean no malice to nobodyDuuh Polee sana Dear!! Vipi hutaki kumroga huyo Mr G? Mganga nakupasia buree.
Niko serious mahii.
makaveli10 ni Kama arteta pale arsenal, janja janja tu 😆 😂Mbona unaanza kuruka Maka? Wewe umesema ungemuoa ila tatizo ushaoa..!!
Sasa Intell kakwambia dini mbona inaruhusu, unaanza sababu za afya..!! Kwahiyo kumbe unaogopa miwaya? 😹😹😹
Ndo ukitulize we jifanye fundi wa mahaba uone..🤣
Namba unayo piga haipatikani, ka vipi tujaribu Tena mwakani 😂🤣Wewe kinga zako sio kali unipatie wifi 😹
Haina noma, 007 Vishu Mtata ata muoa binti@binti
Shida sio mimi, shida unadhani mke wangu atakubali nioe mke wa pili mgonjwa!?
Huyo mzima tu kazi ipo, ila ningekuwa SIJAOA ningevuta jiko.
Ngoma kitu gani?
Sasa umelia nini mrembo wangu 😁, kukuoa subiri. Just know I love you.Nimelia sana🌚 hebu nioe bas nitulize vidonda😝 na vinye**
💔Sasa umelia nini mrembo wangu 😁, kukuoa subiri. Just know I love you.
Muoe sasa dini inaruhusu.. 😹Huo ugonjwa ni poa tu, watu wana miaka 30 wanaishi nao,mpaka wengine wanakuja kufa na kugongwa na gari. labda shida ni zile tembe tu za kila siku
Sasa niache kuogopa, mikamsa huko, figo, moyo kufanyaje sijui, mara maini..
Ugonjwa tiba milioni 30 na bado huponi.
Niogope ugonjwa dawa bure 😂🤣, halafu sikondi wala nini.
Anatuona watoto 😹makaveli10 ni Kama arteta pale arsenal, janja janja tu 😆 😂
Hutaki kupima kwa macho? 😹Namba unayo piga haipatikani, ka vipi tujaribu Tena mwakani 😂🤣
Pacha hata birthday yetu bado, je una taka ubaki mwenyewe ehh 😁🤣Hutaki kupima kwa macho? 😹
Msi mlazimishe Sana, 007 Vishu Mtata ata beba mali safi🤣😁Anatuona watoto 😹