Mrejesho wa pesa za kujikimu waajiriwa 2022

Mrejesho wa pesa za kujikimu waajiriwa 2022

Lil bees

Senior Member
Joined
May 17, 2022
Posts
143
Reaction score
158
Habari nadhani wadau na wapendwa mnakumbuka niliandika uz hapa wa kuulizia pesa za kujikimu.
Thread 'Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022'

Dokezo - Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022

Sasa pesa wamewapa waajiriwa 2022 ila upigaji ni mwingi saana hususani halimashauri za pembezoni hukoo. Yapo madai ya halimashauri kadhaa kukata au kuwapunja waajiriwa kiasi kama cha 200k(laki mbili kila mwajiriwa) imepigwa. Hivi nyie watu hamna hata huruma??? Hayo matumbo yenu haya shibi kilicho haki yenu. ? Huu ni wizi na ubazirifu kama mwingineo ule.

Acha nipitie wadau kadhaa waajiriwa katika halimashauri tofauti nitaleta viwango walivyopewa jamii yetu pendwa ipate kuona wizi wa baadhi ya watendaji katika hizi halimashauri.

Serikali yetu pendwa ya Mhe Rais Samia Suluhu mnaipaka matope kila siku kwa tamaa zenu

Halimashauri ya lindi, uvinza, songea Butiama, Moshi vijijni, Geita na wilaya zake, Kigoma na morogoro mnalipaje watu nusu kwanini mnawalipa waajiriwa tifauti na halimashauri zingine. Mnakata hela za waajiriwa kitu kama laki 150 au 200k huu tuite... ? Wenye mamlaka shughulikieni hili imekithiri na inafedhehesha na kutesa waajkriwa kila wakati wapeni watu hela zao.


Butiama, Morogoro, geita na wilaya zake, kigoma, moshi vijijn nk.





Acheni wizi wapeni watu hela zao zote.
 
Wadau wajiriwa wote leteni mrejesho wa pesa zenu za kujiimu jamii ione jinsi baadhi ta halimashauri wanavyo wazulumu au kuwaibia wananchi wenu
 
Ukiona kimya ujue hakuna shida Serikali hii ya Mama Samia ni sikivu sana,wafanyakazi matatizo yao mengi na Maslai yao ya takribani miaka 7 yametatuliwa na kama bado basi yanashughulikiwa.
 
Ukiona kimya ujue hakuna shida Serikali hii ya Mama Samia ni sikivu sana,wafanyakazi matatizo yao mengi na Maslai yao ya takribani miaka 7 yametatuliwa na kama bado basi yanashughulikiwa.
Ndio wale chapaa za wenzao kizembere
 
Kwa nini wapige panga, au walikuwa wamewakopesha wakati wanasubiri za kwao.
 
Lindi mtwara kigoma uvinza songea wanadai bado hawajala hata jero
 
Wizi ukikomaa huonekana ni kawaida. Kula kwa urefu wa kamba. Kilichokatazwa ni kuvimbewa!
 
Toshekeni na mishahara yenu
Au rudisheni kazi mludi vijiweni
 
Back
Top Bottom