kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Habarini wakuu
Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka.
Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri.
Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa na hasira kwa wakati ule nikaona ni heri tu ni move on, nikamwambia mwenzangu ila hakunibembeleza wala nini 😄 hadi nilishangaa but maisha yakaendelea.
Nina mengi naweza kuelezea but ntajitahidi kufupisha ili muelewe japo mimi si muandishi mzuri.
Nakumbuka mwaka huu tulipata ajali ya gari, kwenye ile ajali hata yeye alikuwepo sasa ile ajali iliniletea mshtuko ambao ulipelekea nikapata shida ya hormone, nilienda hospital but sikuponaga vizuri, sasa nikawa nimekaa nikamcheki siku nikamwambia unajua umenisababishia shida kubwa na upo tu wala haujali, akanitumia kiasi flani cha pesa japo hakitoshi akasema ndiyo aliyo nayo( hapo muda huo tulishaachana)
Ule ukaribu na kunijulia hali na nini tukarudiana, kuna siku nikawa nimemuuliza swali flani majibu aliyonipa ni kama hana future yoyote na mimi, nilivyomdadisi vizuri akaniambia alinificha ana mtu ana ishi naye🥲
Just imagine tuna karibia mwaka kwenye mahusiano, japo ni LDR sasa kuna vitu nimekumbuka tangu mwanzo kwanza alikuwa hataki kuongea na simu usiku ukimwambia tuongee atakuzungusha wee au anakwambia kachoka tutaongea kesho, kuhusu kwenda anapoishi hajawahi kukubali na sijawahi kufika,.
Mimi nimemtakia maisha mema ila nimeumia sana kupotezewa muda wangu😢 mtu unakaa kwa uaminifu unajua una mtu ambaye mnaweza kufika mahali fulani kumbe yeye ana familia yake dah. Nimeumia japo nashukuru Mungu kwa hili.