Mrejesho wa thread ya rafiki yangu alienipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake. Jana kafanya jambo ambalo mkewe hatokuja kulisahau maishani kwake

Mrejesho wa thread ya rafiki yangu alienipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake. Jana kafanya jambo ambalo mkewe hatokuja kulisahau maishani kwake

Hongera sana boss kwa kuokoa maisha ya mtoto ila huko mbeleni usimpe shemeji zawadi yeyote mumewe akiwa hajui, ni hatari sana. Dunia ishavurugika hii ukweli unaweza julikana ikiwa too late.
 
We jamaa na mkeo wambea sana
Umbea wetu uko wapi mkuu. Sisi haya mambo hatukutaka mtu yoyote including mumewe ajue. Ila yeye ndo alianza kumwambia mumewe Na mwisho aka find out kuwa mkewe ndio mbaya. Soma thread ya mwanzo mkuu utaelewa.
 
Mzee unakipaji mpigie shigongo namba yake hii hapa mfanye nae kazi.0788456790 pia mtafute musa banzi mtengeneze script
 
Dawa ya moto ni moto acha achezee kichapo. Hata mimi ningekua karibu ningemsaidia kumtwanga sawasawa mshen..z. i huyo
Isingewezekana kumtwanga mke wa mtu hivi hivi. Ata kipigo alichopata kutoka kwa mumewe kinatosha kumfunza namna ya kuishi na mtoto wa kambo 🤣🤣🤣
 
Mbona huyo jirani yako ni mpumbavu sana? Haoni kwa hicho alichokifanya ataenda jela na kumwacha mtoto akihangaika? Watu wa Kinondoni hamna akili kabisa.
Mbona jamaa ameshachukua na RB kabisa. Mkewe akitia mguu nyumbani tu anampeleka polisi kwa kesi ya kumtesa mtoto na kutaka kumuua.

Yule mama kamfanyia mtoto mambo mengi ambayo tumeyajua baada ya baba yake kumhoji vizuri. So hapo naona ni mwanamke ndio mwenye hasara zaidi.
 
Kwa hiyo chanzo cha ugomvi ni mtoto wa kambo?
Au wewe kununua nguo?
Kasome thread ya kwanza utaelewa kila kitu. Ukisoma hapa na kuniuliza maswali itakuwa ngumu kukujibu sababu haujasoma nilipoanzia ili uelewe vizuri.
 
Nilikushauri ukamripoti huyo mwanamke anonymously juu ya mtoto.

Na sasa ninashauri ukamripoti jamaa kwa kumpa kipigo mkewe. Of course do it anonymously.

Kama huwezi kufanya hivyo sitashangaa kwakua hata kwa mtoto ulishindwa.
Mama kampiga mtoto, na baba mtoto kampiga mama. Sasa tatizo liko wapi.

Hapo naona ngoma dro as long as hakumuua au kumsababishia ulemavu wa mguu au mkono.
 
Mbona jamaa ameshachukua na RB kabisa. Mkewe akitia mguu nyumbani tu anampeleka polisi kwa kesi ya kumtesa mtoto na kutaka kumuua.

Yule mama kamfanyia mtoto mambo mengi ambayo tumeyajua baada ya baba yake kumhoji vizuri. So hapo naona ni mwanamke ndio mwenye hasara zaidi.
Wewe pia ni mpumbavu. Mtu kupigwa na kutolewa meno mawili unaona ni sawa? Una tofauti gani na hawa watekaji wanaoumiza watu?
 
Back
Top Bottom