Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

Wakuu dawa ya vidonda vya tumbo ni maji ya moto tu Mimi nimepona kabisa
Maji ya moto uli tumia kwa muda gani ?!

Muda wa kunywa hayo maji ya moto ni asubuhi,mchana na jioni au ?

Kiasi gani cha kunywa hayo maji, glass 1 au ?!

Una endeleaje kwa sasa mkuu ?!
 
Dawa zipo za kienyeji ila twendeni kwa tahadhari Kuna mtu namjua alikunywa hiyo mizizi Figo Moja ikashindwa kufanya kazi.
 
Ukiugua vidonda vya tumbo kuna kisababishi

1. Bacteria h.ylory - hivi huambukiza
2. Stress
3. Mpangilio mbovu wakula.

Ili kutibu hivyo vidonda nilazima ujue chanzo ili utibu chanzo. Mitishamba kwa kawaida huweza kuponesha vidonda lakinj kama chanzo hakijatoka vitarudi tena. Kwahiyo nilazima upate tiba kulingana na chanzo na tiba ya kutibu vidonda vyenyewe. Nimuhimu sana kuanza kupata vipimo kabla ya kuanza tiba yoyote.
 
Back
Top Bottom