Benews
Member
- Jul 29, 2020
- 18
- 13
Acha kupotosha vidonda vingine vinatokana na Backeria ambao hawawezi kutibika na hicho ulichoandika
Tafuta mizizi ya mti wa mpondeponde, ukaushe kisha usage uwe unga, kisha chukua mbegu za papai uzisage. Changanya huo mchanganyiko wote uwe unaweka kwenye maziwa ya mbuzi, kila siku kunywa nusu lita kwa kipindi cha miezi mitatu huku ukiweka asali ya nyuki wadogo vijiko viwili.
Usipopona niite umbwa nimekaa paleee.