Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi sababu Kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
kunywa uji w ngano!
kifupi vidonda huwa aciponi ni management tu inabakia
 
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi sababu Kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
Tumia pilipili kichwa, najua wengi watachukulia mzaha ushauri huu Ila huo ndio ukweli
 
Asubuhi kula mikate au maandazi yasiyo na Amira nyingi mchana kula vyakula visivowekwa nyanya kula saa 7mchana usiku kula ubwabwa lakini uive vizuri pendelea sana kula matunda ya ndizi na parachichi
Sorry kaka hivi azam embe au juice Ile ya tunda zinaruhusiwa maana Sasa hivi sigusi kinywaji chochote aisee
 
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi sababu Kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
Sema huu muandiko ni vile tu unaumwa vidonda vya tumbo. Lakini huu muandiko haueleweki
 
Hadi Mimi ninavyo hivi ni balaa dawa yake kupunguza mawazo na kula kwa wakati au tumia relcer gel na Omeprazole miezi mitatu ikidunda tumia hiii charanga mbegu ya parachichi kisha Iki kauka ule unga changanya na kiini cha yai la kienyeji kisha Tumia mara tatu kwenye kijiko cha chakula
Tafuna karafuu kila siku kikamilifu utashangaa maajabu.
 
Mimi natowa kinga ya vidonda vya tumbo ukitaka visikupate hakikisha mwili wako una Alkaline ya kutosha vidonda kwako ni historia, hata mgonjwa wa vidonda vya tumbo pia atumie formula hiyo.

Hakiki gas na acid havizi tumboni mwako.

Antioxidant nzuri ukishakula kunya glasi ya maji ya uvuguvu uliyokamulia limao hata glasi mbili.

Asubuhi kama huwa unakunywa chai jenga utamaduni wa ku kukamulia limao kipande kimoja, huwezi kusumbuliwa na vidonda.

Wenye access kama una ndugu duniani agizeni vidonge vya Acid controller huwezi kupata vidonda vya tumbo.

Mimi sasa hata pilau nakula bila shida, soda pepsi nakunywa, machungwa tu ndio nimeacha kabisa kwa sababu Citric acid siyo nzuri.
 
Mkuu niamini mimi,achana na matapeli wa mitandaoni,kama unataka TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO YA UHAKIKA wewe niambie!

Mimi utanichangia elfu 10 tu ya kukusaidia kukupa maelekezo nini ufanye,najua utapona kabisa na utaleta hapa mrejesho!

Ukiona ni ngumu kuandaa,basi mimi nitakuandalia kwa Elfu 50!
Hakuna shida mkuu ntakutafuta
 
Mimi natowa kinga ya vidonda vya tumbo ukitaka visikupate hakikisha mwili wako una Alkaline ya kutosha vidonda kwako ni historia, hata mgonjwa wa vidonda vya tumbo pia atumie formula hiyo.

Hakiki gas na acid havizi tumboni mwako.

Antioxidant nzuri ukishakula kunya glasi ya maji ya uvuguvu uliyokamulia limao hata glasi mbili.

Asubuhi kama huwa unakunywa chai jenga utamaduni wa ku kukamulia limao kipande kimoja, huwezi kusumbuliwa na vidonda.

Wenye access kama una ndugu duniani agizeni vidonge vya Acid controller huwezi kupata vidonda vya tumbo.

Mimi sasa hata pilau nakula bila shida, soda pepsi nakunywa, machungwa tu ndio nimeacha kabisa kwa sababu Citric acid siyo nzuri.
Limao nalo si asidi mkuu?
 
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi sababu Kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
Kwanza unatakiwa kujua hivyo vidonda vinasababishwa na na Nini Kama nivile vyabkuambukiza, unaweza kujitibu kwa antibiotics peke yake na sii vinginevyo
 
Back
Top Bottom