Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

Nataka lipa ya tigo Pesa inawezekana kupata?
UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
 
Wakati kwa 115,000 unapata unlimited ya voda
Nikuulize inakuwa unlimited kweli bila kupunguza kasi, au kuishia njiani kutokana na matumizi yako kwa maana niliona hawa Voda wanaujanja,unpodownload spidi hupunguza ukilinganisha na kuupload na sisi huku tunadownload zaidi kuliko kuupload
 
Mkuu nashukuru sana kwa kunionesha hili chimbo maana hawa wezi Halotel wananiumiza kichwa!
 
Upigaji / Wizi - Kuna ule upigaji unakuta umejiunga gb 1 ila ukitumia MB 300 tu unaambiwa bando limeisha au unatumiwa sms kwamba umetumia 75%, Huku sijaona hicho kitu, Natumia router inayohesabu nimetumia gb ngapi, na nikiangalia salio kwenye mtandao kweli naona kuna uwiano. Mfano kwa hapa Kwenye router umetumija GB 2 na MB 207, kwenye salio la tigo inaonyesha zimebaki GB 77 na MB 793, kwa kifurushi changu cha GB 80 pana uwiano.




Mnadanganya mpaka mnapitiliza unaposema kifurushi chako cha gb 80 ilhali kwenye chat hakuna kifurushi hicho unakuwa mnajisikiaje.....tangazo la kibiashara haihitaji uongo wa wazi wa kiwango hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…