Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Miminimama dada kumbe unapata tabu sana, nilikwambia ukosefu wa Chura tatizo kubwa hapa mjini unaona sasa
 
Tena wakijua umezaa na unahitaji mume wanataka kukufanya kama sex machine yaani mtu anakosa ustaarabu, anyway mimi kuwa na mtoto si kigezo cha kufunuliwa na wanaume ovyo, kama tutaendana poa ila kama naona hatupo poa hapana aisee na inahitaji mda sana mpaka kufikia huko.
Dia usiende mitandaoni, wengi walioko huko sidhani kama nia ni ndoa Bali sex, hata hao wa mbele hakuna kitu. Shoga yangu yeye ana mipesa alikuwa akilipia zile za bei kubwa, alivyonisimulia nilichoka.

Labda ninge kuambia kitu, ila hapa macho mengi.

All in all polee
 
Habari yako Mkuu Tafadhali naomba nicheck Whatsapp tuzungumze kidogo 0656378005
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Penye mitii hapana wajenzi kweli😎😎
 
Dia usiende mitandaoni, wengi walioko huko sidhani kama nia ni ndoa Bali sex, hata hao wa mbele hakuna kitu. Shoga yangu yeye ana mipesa alikuwa akilipia zile za bei kubwa, alivyonisimulia nilichoka.

Labda ninge kuambia kitu, ila hapa macho mengi.

All in all polee
Hivi kumbe mnasanda kiasi hicho kutafuta wanaume wa kuwaoa... [emoji23][emoji23][emoji23]

Mchawi wenu tabia zenu badirikeni mbona wanaume tupo tele hapa[emoji847][emoji847][emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ulichokiandika? Umeelewa ulichoandoka? Kabla hujapost upuuzi soma na uelewe, kwahiyo nikisikia kitu kukisema hapo ndo uhukumu? Acha upuuzi dogo
 
Huyu jamaa nimemshangaa sana, wenzake hiyo ni moja ya majukumu wakati wa tendo yeye anasema tunadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa comment hii natangaza kukudharau
 
Back
Top Bottom