Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

feedback yako nzuri japo mimi nakupa mrejesho wangu kwamba nimefanikisha zaidi ya wanaume kumi kupata wake na wameoana,japo ni kazi kweli kweli,hiyo ni baada ya hao wanaume kuchagua miongoni mwa wanawake kama 80 hivi na kipindi cha miezi 9 hivi
Wanawake 80 😃mchuano ni mkali
 
Wanawake 80 😃mchuano ni mkali
ni kweli ulikuwa mkali lakini uchaguzi ulifanyika,kwa sasa nina wanaume 10 wanatafuta wanawake wa kuoa na nina wanawake 120 ni kazi ngumu mno,na mimi sipendi wafanye umalaya yaani wapakuane then hamna kitu
 
ni kweli ulikuwa mkali lakini uchaguzi ulifanyika,kwa sasa nina wanaume 10 wanatafuta wanawake wa kuoa na nina wanawake 120 ni kazi ngumu mno,na mimi sipendi wafanye umalaya yaani wapakuane then hamna kitu
Hao wanawake 120 unawatoa wapi!!
 
Hao wanawake 120 unawatoa wapi!!
Sikia bro,hii kazi ya kuunganisha wanawake na wanaume naifanya huu ni mwaka wa 5,hivyo wanakuja kwangu,mamia kwa mamia,wapo wengi tu huwa nawachambua na kuona ni wababaishaji nawaachia njiani,lakini wapo wengi sana ambao huja kwa nia njema hao ndio naendelea nao.Zipo njia nyingi wanazotumia kuwasiliana nami ikiwemo hapa jf,facebook na mitandao mingine
 
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
If you keep attracting guys who just want to sleep with you, here are some simple reasons why:

Your Vibe: The way you act can attract the wrong type of guy. If you’re flirty and carefree, they might think you’re only looking for fun.

First Impressions: How you present yourself matters. If you focus too much on looks, guys might only see you as a hookup.

Casual Dating Culture: Nowadays, many people are into casual dating, which can lead to temporary connections rather than serious ones.

Talk Matters: If early conversations focus on physical attraction, it sets the tone for what they expect.

Self-Image: How you see yourself can affect who you attract. If you doubt your worth, you might settle for less.

Your Surroundings: Places you go, like parties or bars, might attract those who want casual flings.

Past Patterns: Past relationships may influence current dating habits, repeating the same types of connections.

Set Clear Boundaries: Be upfront about what you want in a relationship to filter out those looking for something casual.

Look for Deeper Connections: Try meeting people in settings where relationships can grow, like classes or clubs.

Self-Reflection: Think about what you truly want in a relationship so you can attract the right people.

By understanding these things, you can start bringing in guys who want more than just physical connections!
 
Back
Top Bottom