Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

Huku ukiendekeza uzinzi hlf uwe high table! Fanaaa leki
Kulikuwa na jambazi na muuaji...Bwana Yesu alimtamkia ...''Hakika leo hii utakuwa nami peponi"".......
 
Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia

Mambo si mambo kuna binti yake kwa sasa kila akiniona salamu yake ni ankoooo........nakuona ankooooo mpaka najiuliza mhhh...hii salamu hiii ni ya namna gani???mara umemuona Bi.mkubwa leo? daah...balaaa

Yani huyu bi mkubwa kumbe kila jambo kati yangu mimi na yeye anawasimulia watoto zake...yaani sina hamu pia ana rafiki yake anaimba kwaya kuu ni mama wa kichaga kila anionapo ananichangamkia kakaa kakaa nakuona kakaaa vipi leo hamjaonana?

Ayaaaa kumbe na huyu anajua? yaani muda si mrefu nitakuwa kama mfano kwenye mahubiri .Mungu saidia.....

Sasa kuna vijana wake wa kiume kuna biashara tunafanya nao...huu mwezi wa pili hakuna ripoti ya maana ninayopata.....halafu kauli zao zimebadilika hata salamu kwa sasa ni......oyaa kaka mkubwa shwariii.........najuuta....

ITAENDELEA..........
Chai
 
Ongeza juhudi kuomba mzigo.
Maza Ameshakuelewa huyo.
Mpaka anatangazia watu.
 
La msingi tuambie alikukubalia ukala mzigo au alikupa za mbavu ndiomana unakuwa katika hiyo hali?
 
Mbaya zaidi sio watu wa mtaani bali kanisani tena kanisa la kiroho. Itakuwa aibu ya mwaka kama mkeo yupo alafu naye ni mzee wa kanisa😀😀
Hamna shida.

Mbaya ni akirudisha majeshi nyuma.

Mama ameshaingia Laini, ni suala la kumalizia tu.
 
Ila wamama watamu jaman🤣🤣

Kwanza wasafiii K uma unanikukia waii

Tatizo ukimwi tu ukijichanganya umeisha
 
Swali, umeshakula ama bado? Kama tayari kaa nae mueleze kistaarabu nyie ni watu wazima, kama anataka muendelee iwe kimya kimya hutaki matangazo na kama hawezi muishie hapo ,,,, pia kama hujala fanya juu chini kula pita hivi ,,,,inaudhi sana kusingiziwa kitu ambacho hujafanya
 
Back
Top Bottom