Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

Mwanaume ni mwanaume hata akizeeka kwahiyo shikilia hapo hapo usituangushe
 
Utakuja lia ukishapoteza muda waaaako tititilili kwa hivyo chunga ndugu yangu weeee usifuate wale wabayaaaa
Punguza ulevi ndugu, chunga jamii yako eeh

watateseka Bure kwa ajili yako

Somesha mtoto shule apate elimu eeh.....

Atafaidika kwa maisha yakee,

Vumilia ndugu maisha magumu eeeh

Dunia ni hivyo,, ndivyo hivyo ilivyo.....


Uuuuuuuuuh ............ samba mapangala 😂🍺🍺
 
Mkuu...Kama ana tako zuri, Mpigishe Chuma Mboga huyo Mama..... Mpaka akili imruke.....Atangazie parokia nzima kuwa unamla....
 
Ngoja na wewe ufikishe, undhani 60 ni mbali sana? 😀 Sema mtu anatakiwa atawale matamanio kadri inavyowezekana mapema tu.
MIaka waione hivi hivi tu ni suala la kufumba na kufumbua unashtukia heee........
 
Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia

Mambo si mambo kuna binti yake kwa sasa kila akiniona salamu yake ni ankoooo........nakuona ankooooo mpaka najiuliza mhhh...hii salamu hiii ni ya namna gani???mara umemuona Bi.mkubwa leo? daah...balaaa

Yani huyu bi mkubwa kumbe kila jambo kati yangu mimi na yeye anawasimulia watoto zake...yaani sina hamu pia ana rafiki yake anaimba kwaya kuu ni mama wa kichaga kila anionapo ananichangamkia kakaa kakaa nakuona kakaaa vipi leo hamjaonana?

Ayaaaa kumbe na huyu anajua? yaani muda si mrefu nitakuwa kama mfano kwenye mahubiri .Mungu saidia.....

Sasa kuna vijana wake wa kiume kuna biashara tunafanya nao...huu mwezi wa pili hakuna ripoti ya maana ninayopata.....halafu kauli zao zimebadilika hata salamu kwa sasa ni......oyaa kaka mkubwa shwariii.........najuuta....

ITAENDELEA..........
😂😂
 
We nae zee zima bado unahangaika na mangono zembe mpaka leo.ngoja UTI ikuue.
Ulivyoanza sentensi yako kama vile nakuona umevaa dera..halafu limeshkizwa na upindo wa chupi.....yafaa nikuonjee.... 🙂
 
Back
Top Bottom