Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

Mwanaume ni mwanaume hata akizeeka kwahiyo shikilia hapo hapo usituangushe
 
Utakuja lia ukishapoteza muda waaaako tititilili kwa hivyo chunga ndugu yangu weeee usifuate wale wabayaaaa
Punguza ulevi ndugu, chunga jamii yako eeh

watateseka Bure kwa ajili yako

Somesha mtoto shule apate elimu eeh.....

Atafaidika kwa maisha yakee,

Vumilia ndugu maisha magumu eeeh

Dunia ni hivyo,, ndivyo hivyo ilivyo.....


Uuuuuuuuuh ............ samba mapangala πŸ˜‚πŸΊπŸΊ
 
Mkuu...Kama ana tako zuri, Mpigishe Chuma Mboga huyo Mama..... Mpaka akili imruke.....Atangazie parokia nzima kuwa unamla....
 
Ngoja na wewe ufikishe, undhani 60 ni mbali sana? πŸ˜€ Sema mtu anatakiwa atawale matamanio kadri inavyowezekana mapema tu.
MIaka waione hivi hivi tu ni suala la kufumba na kufumbua unashtukia heee........
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We nae zee zima bado unahangaika na mangono zembe mpaka leo.ngoja UTI ikuue.
Ulivyoanza sentensi yako kama vile nakuona umevaa dera..halafu limeshkizwa na upindo wa chupi.....yafaa nikuonjee.... πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…