Mrejesho: Wazee wenzangu wa 50+

Mrejesho: Wazee wenzangu wa 50+

Naju23

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
47
Reaction score
77
Kwanza mimi ni mzee wa 51.
Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s

Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji.

Wenzangu hali ikoje?

Magonjwa kama
  • Pressure
  • Sukari
  • Kuishiwa nguvu za kiume
  • Kanza tezi dume
Nk

Ni maradhi mabaya sana. Naendelea na mazoezi madogo madogo na nimebadili mtimdo wa chakula.

Napendelea mboga, matunda, nyama nimepumguza ugali na wali.
 
Kwanza mimi ni 51.
Sioni dalili yoyote wanaoyoitia wenzangu wa 40s na 50s

Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke a a omba maji.

Wenzangu hali ipoje
chunguza lishe yako my father was 70yrs mkewe 69, alimuomba aoe mke mdogo sisi watoto tukamshauri aache, tu.
 
Miaka 50 bado sana..... unless kama ulikuwa na bad life style.......

Jikite sana kwenye mazoezi ya viungo.......

Usipige sana cardio....zidisha weight lifting.......

Weight lifting ndio msingi wa uimara wa mwanaume au binadamu...kwa kuwa binadamu kadri anavyokuwa anapoteza misuli....

Weight lifting ndio inayotuweka fit mpaka tunaonekana vijana wadogo kwa stamina.......

Usiache ugali bali replace dona na sembe......mafuta ya dukani achana nayo kama inawezekana pendelea chuku chuku tu...........

Zidisha kutafuna sana karanga mbichi, mbegu za maboga, na korosho.........

Punguza pombe au achana nayo kabisa........

Zingatia mazoezi na unywaji wa maji kwa wingi....achana na soda au juisi za kukamua unless anakukamulia shemeji bila kuongezea chochote.......

Watu wana miaka 70 lakini wanajitunza na kuishi vizuri itakuwa wewe miaka 50 tu......
 
Back
Top Bottom