Ugali hasa sembe na wali kwa watu wenye kisukari wanashauriwa kula kwa kiasi kidogo sana au kama wanaweza wanaachana navyo kbsSasa ugali na wali vimefanyaje mkuu?
Acha pombe,sigara nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugali hasa sembe na wali kwa watu wenye kisukari wanashauriwa kula kwa kiasi kidogo sana au kama wanaweza wanaachana navyo kbsSasa ugali na wali vimefanyaje mkuu?
Acha pombe,sigara nk.
Zipo mbili, allopurinol na colcineHiv dawa ya kutoa ma uric acid ni nini
Hata moto unaua piaAcheni pombe mazee,
Pombe inaua.
Kama huna V8,Discovery au japo Audi...kajiandikishe kwenye daktari la kudumu...wewe wa 50+ ni mzeeHii nchi mnatuchanganya sana,mbona UVCCM wao wanasema uzee unaanzia 65+.sasa wewe na 51 yako ujajiitaje mzee?
Kama vip mzingatie engo 😂🤣Anazidi kunivuruga aisee
Asante sana mkuuZipo mbili, allopurinol na colcine