mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Hakuna kiasi salama cha pombe,Inategemea kila kitu kikifanyika kwa kiasi hakina tatzo.
Haswa kwa wazee,
Tena haswa kama ulianza kutumia mapema kabla ya umri wa 21.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kiasi salama cha pombe,Inategemea kila kitu kikifanyika kwa kiasi hakina tatzo.
OkHakuna kiasi salama cha pombe,
Haswa kwa wazee,
Tena haswa kama ulianza kutumia mapema kabla ya umri wa 21.
Ugali Dona ausembe,Dona ndio habari ya hiyo50+Kwanza mimi ni mzee wa 51.
Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s
Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke a a omba maji.
Wenzangu hali ikoje
Magonjwa kama
Pressure
Sukari
Kuishiwa nguvu za kiume
Kanza tezi dume
Nk
Ni maradhi mabaya sana. Naendelea na mazoezi mango madogo na nimebadili mtimdo wa chakula. Napendelea mboga, matunda, nyama nimepumguza ugali na wali.
Baba alikuwa hataki kubanduka kwenye uno la mother!??chunguza lishe yako my father was 70yrs mkewe 69, alimuomba aoe mke mdogo sisi watoto tukamshauri aache, tu.
I agree with you 💯 mtu anataka kugawa dose kama panadol 🤣🤣🤣 hamnaga shughuli nyingine? Hapo kama una mke kashakusoma na anakuelewa labda kama unataka kuwaonyesha ufundi majirani. 50+ years you should be worried kama una health issues kama cancer, figo zinasumbua, utastaafu vipi list ni ndefu....Maika 50 ukitoka salama utajikuta 70
Ngono Kama hauwezi kuacha jaribu kupunguza
Huo ndio ukweli mkuu,huko Japan watu wa umri huo bado wanachapa kazi sana,ila huku africa mtu wa umri huo tayari anashinda chini ya miembe kalala kwenye mkeka na msuli wake eti anajiita mzee.Umri kama wako wazee nchini Israel wanafanya kazi kama mchwa. (Nimeona)
We unatafuta wa kumtupia lawama kuwa vijana hawalei wazazi😅😅😅
Tutafika tukiwa hoi taa bani😅😅
Natania
😂Niaje Tena?😳 Hii imekaa kisela sana aisee
🤣Anazidi kunivuruga aisee
Amen
Nipe Binti yako nimuoe basi baba mkwe, najua huwezi kukosa Binti wa miaka ishirini na kitu.Kwanza mimi ni mzee wa 51.
Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s
Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji.
Wenzangu hali ikoje?
Magonjwa kama
Nk
- Pressure
- Sukari
- Kuishiwa nguvu za kiume
- Kanza tezi dume
Ni maradhi mabaya sana. Naendelea na mazoezi madogo madogo na nimebadili mtimdo wa chakula.
Napendelea mboga, matunda, nyama nimepumguza ugali na wali.
Hiv dawa ya kutoa ma uric acid ni ninihapo zile age process ndio zimeja. Nina full MaUric acid, Pressure imegoma kushuka nomal inaganda 154-160. Figo zishaanza kusumbua.
Ila najiona nipo fit.
HUduma za chumbani natoa kama kawaida.