Miaka 50 bado sana..... unless kama ulikuwa na bad life style.......
Jikite sana kwenye mazoezi ya viungo.......
Usipige sana cardio....zidisha weight lifting.......
Weight lifting ndio msingi wa uimara wa mwanaume au binadamu...kwa kuwa binadamu kadri anavyokuwa anapoteza misuli....
Weight lifting ndio inayotuweka fit mpaka tunaonekana vijana wadogo kwa stamina.......
Usiache ugali bali replace dona na sembe......mafuta ya dukani achana nayo kama inawezekana pendelea chuku chuku tu...........
Zidisha kutafuna sana karanga mbichi, mbegu za maboga, na korosho.........
Punguza pombe au achana nayo kabisa........
Zingatia mazoezi na unywaji wa maji kwa wingi....achana na soda au juisi za kukamua unless anakukamulia shemeji bila kuongezea chochote.......
Watu wana miaka 70 lakini wanajitunza na kuishi vizuri itakuwa wewe miaka 50 tu......