Mrejesho: Wazee wenzangu wa 50+

Sasa ugali na wali vimefanyaje mkuu?

Acha pombe,sigara nk.
Ugali hasa sembe na wali kwa watu wenye kisukari wanashauriwa kula kwa kiasi kidogo sana au kama wanaweza wanaachana navyo kbs
 
Hii nchi mnatuchanganya sana,mbona UVCCM wao wanasema uzee unaanzia 65+.sasa wewe na 51 yako ujajiitaje mzee?
Kama huna V8,Discovery au japo Audi...kajiandikishe kwenye daktari la kudumu...wewe wa 50+ ni mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…