Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Sabah al kheir,

Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa, akapiga kimya.

Zikapita siku kadhaa nikiwa naendelea kutafakari, huku nikiwa na hofu. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa wanawake wanaongea sana, na zaidi ya hapo, vijana wake (wanawe) ambao tunafanya nao biashara na tunaheshimiana sana. Nikajiuliza, kama wakijua au akiwaambia itakuwaje?

Halafu huyu "bi mkubwa" ana shoga yake wa karibu, "Fedenge," ambaye ni kama msiri wake; yaani, wanawasiliana 24/7. Huyo shoga yake ananifahamu pia, kwani wote tunasali kanisa moja na tunaheshimika sana.

Sasa huyu "bi mkubwa" ni mjane, na kuna kila dalili kwamba ana upwilu)🙄 🙂🙄.......
ITAENDELEA... :ClapHD:
 
Back
Top Bottom