Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

Sabah al kheir,

Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa, akapiga kimya.

Zikapita siku kadhaa nikiwa naendelea kutafakari, huku nikiwa na hofu. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa wanawake wanaongea sana, na zaidi ya hapo, vijana wake (wanawe) ambao tunafanya nao biashara na tunaheshimiana sana. Nikajiuliza, kama wakijua au akiwaambia itakuwaje?

Halafu huyu "bi mkubwa" ana shoga yake wa karibu, "Fedenge," ambaye ni kama msiri wake; yaani, wanawasiliana 24/7. Huyo shoga yake ananifahamu pia, kwani wote tunasali kanisa moja na tunaheshimika sana.

Sasa huyu "bi mkubwa" ni mjane, na kuna kila dalili kwamba ana upwilu)🙄 🙂🙄.......
ITAENDELEA... :ClapHD:
Mkuu umri wako kuleta stori za hivi hauendani kabisa uliruka steji
 
Shaka ondoa hakuna noma
nimekumbuka enzi navuta sigara ya nyota na kula chang'aa....ndipo ulipozaliwa msemo wa noma.
Kuna askari alikuwa anaitwa Silvanus Noma...alikuwa akituvizia wanywaji na tunampoza na tusenti...
Kwa hiyo kabla ya kutinga ubanda tuliwasha rada kucheki kama kuna NOMA.
Balaa kabisa
 
Sasa hawa ndio wazee wakukaa nao na kujadili maisha... Ukitaka kufa mapema jifanye upo serious na maisha... Msenge wew utakufa kwa presha kisukari na ukimwi utakuua kwa mwaka mmoja wakat wenzako wanaishi na ukimwi hadi wakienda kuchukua dawa manesi wanasema wee mbwa hufi ngoma gani miaka 30 unayo na unatamba nayo
 
Sabah al kheir,

Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa, akapiga kimya.

Zikapita siku kadhaa nikiwa naendelea kutafakari, huku nikiwa na hofu. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa wanawake wanaongea sana, na zaidi ya hapo, vijana wake (wanawe) ambao tunafanya nao biashara na tunaheshimiana sana. Nikajiuliza, kama wakijua au akiwaambia itakuwaje?

Halafu huyu "bi mkubwa" ana shoga yake wa karibu, "Fedenge," ambaye ni kama msiri wake; yaani, wanawasiliana 24/7. Huyo shoga yake ananifahamu pia, kwani wote tunasali kanisa moja na tunaheshimika sana.

Sasa huyu "bi mkubwa" ni mjane, na kuna kila dalili kwamba ana upwilu)🙄 🙂🙄.......
ITAENDELEA... :ClapHD:
Story inaendelea lini?
 
Vijizee kama hivi ndivyo vimelifikisha taifa hapa lilipo..pathetic
MREJESHO PART 2 UNAKUJA stay tuned........
Yaani kwa kifupi nisha mgegeda bin kumzagamua,,,,,,,, kipengele kwa kipengele tena kwa taarifa machine ni kama mpyaaaa waweza dhani unakula utumbo bin kitovu... 🙂 :NyanLove:
 
Mkuu umri wako kuleta stori za hivi hauendani kabisa uliruka steji
Hapa ni kijiweni.....na hii stori ni kweli kabisa.....sasa jifunze upate kuelewa tena upate kufahamu,,,,,,,
Kuhusu steji(stage) mie nimepitia jandoni.....nikimgegeda demu wako kamwe hatoniacha....TRUST ME....
 
Sasa hawa ndio wazee wakukaa nao na kujadili maisha... Ukitaka kufa mapema jifanye upo serious na maisha... Msenge wew utakufa kwa presha kisukari na ukimwi utakuua kwa mwaka mmoja wakat wenzako wanaishi na ukimwi hadi wakienda kuchukua dawa manesi wanasema wee mbwa hufi ngoma gani miaka 30 unayo na unatamba nayo
waaambiiiiiiieee :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD: :ClapHD:
 
Back
Top Bottom