Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

Hata Wahuni wanazeeka...usiamini kila Mzee ana busara.
Busara mbali UPWIRU mbali ,,,,,,,,,,,kila jambo na wakati wake...
kuna viungo vina kazi mbili mbili..mfano, MDOMO kuongea na kula
Halafu MTARIMBO kutoa haja ndogo na.................utamalizia mwenyewe
 
Hawa ndio wazee ambao wanategemewa na watu mbalimbali kutoa ushauri....
 
Hawa ndio wazee ambao wanategemewa na watu mbalimbali kutoa ushauri....
Kabisa
Shaka ondoa....... na ushauri wetu ni wa thamani kuliko dhahabu.....
Wengi wamefaidika
KARIBU
 
Piga miti wazee wenzako tunakuunga mkono
 
Mshauri kijana asipende kulelewa

Cc Grahams
Umewaza sahihi Mkuu

Miaka ya zamani Wanaume tulifundishwa kuhudumia Mke na Watoto tangu tukiwa jandoni

Siku hizi hii tabia ya kuwapeleka Vijana wetu wa Kiume hospitali wakiwa na miaka 4 ndiyo chanzo cha huu Umarioo miongoni mwa Vijana wetu wa kiume miaka hii
 
Mzee wangu naona unajikumbusha enzi zako angalia lakiini isije ikawa noma badae
 
Mzee wangu naona unajikumbusha enzi zako angalia lakiini isije ikawa noma badae
Shaka ondoa hakuna noma
nimekumbuka enzi navuta sigara ya nyota na kula chang'aa....ndipo ulipozaliwa msemo wa noma.
Kuna askari alikuwa anaitwa Silvanus Noma...alikuwa akituvizia wanywaji na tunampoza na tusenti...
Kwa hiyo kabla ya kutinga ubanda tuliwasha rada kucheki kama kuna NOMA.
 
Vijizee kama hivi ndivyo vimelifikisha taifa hapa lilipo..pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…