mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Habari wana jamvi,..baada ya kutoa ya moyoni kuhusu Yule binti wa kazi ambae nilikuja kuthibitisha kuwa Ni miathirika wa ugonjwa huu unaosumbua dunia...nimesoma comments zenu ambazo zilikuwa na maoni mengi
Ambayo yamenisaidia Sana katika kufanya maamuzi ,..binti nimemrudisha kwao japo hakujua sababu Ni nini...nlitumia saikolojia ya hali ya juu...ili asijisikie vibaya kwa Hilo
Asante JF members kwa michango yenu...ya kimawazo...
N:B Tusichoke kuishauri serikali,..tusichoke kukosoa pale tunapoona mambo hayaendi inavyopaswa...serikali yetu Ni sikivu...na inajali wananchi wake.
Kazi iendelee..