Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 524
- 1,093
Mwache ajipe raha na ufake fake asije kufa na msongoKwahiyo Juzi ulijidai professor chuo kikuu ukawa unaona aibu kuwafundisha mademu, juzi yake ulipigana na konda kisa kakudhulumu miambili, leo umebaki na miatatu kidogo ulale njaa
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"
Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.
So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.
Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.
Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.
Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.
Umeolewa 'Mama Stan' Stan hajambo naweza kua Baba yake wa kambo?Atiii??

Na majukumu ya Baba wa kambo jiandae....no kukimbia hahaUmeolewa 'Mama Stan' Stan hajambo naweza kua Baba yake wa kambo?
Jamaa ni muongo muongo fulani hivi.Kwahiyo Juzi ulijidai professor chuo kikuu ukawa unaona aibu kuwafundisha mademu, juzi yake ulipigana na konda kisa kakudhulumu miambili, leo umebaki na miatatu kidogo ulale njaa
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"
Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.
So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.
Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.
Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.
Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.
Umeeleza kuhusu laki tatu ya mkwe au smart gin mbili?Wataalam,

Ahahahah..Glenn.the Tracker.UNA BAHATI HAMKUFIKIA HUKU
View attachment 2891197
Ushaelewa K vantHuu uzi nahisi nimeingia choo cha walevi ngoja nipite kimya kimya
Mr Pipa nakuita mara mojaKasuku on the mjengo sasa mkuu hapo shida ni nini labda? kumuazima mwenzio k30 we kubak na miatatu au? Kwan alikulazimisha utoe yote?
Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma.
naam mkuuMr Pipa nakuita mara moja
Safi hiyo ndio dawa ya wapuuzi wanaotaka kuwamiliki wengine kisa aliwahi kukusaidia wakati fulani.Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"
Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.
So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.
Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.
Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.
Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.
Upo Safi mkuu?naam mkuu