Mrejesho: Yule jamaa aliyenitafutia kazi, leo nimemchana

Kwahiyo Juzi ulijidai professor chuo kikuu ukawa unaona aibu kuwafundisha mademu, juzi yake ulipigana na konda kisa kakudhulumu miambili, leo umebaki na miatatu kidogo ulale njaa
Mwache ajipe raha na ufake fake asije kufa na msongo
 
.
 
Attachments

  • 198351-Hot-Tea-Vapor.gif
    198351-Hot-Tea-Vapor.gif
    963.4 KB · Views: 1
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"

Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.

So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.

Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.

Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.

Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.

We ni fala [emoji3][emoji3][emoji3]hukua na chochote afu unajiona mjanja kumchana!!

ulishauriwa kama ww mwanaume tafuta kazi yako umeshindwa hukua na haja ya kumchana hivo kifala….

Pesa kidogo tu unaleta maneno
 
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"

Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.

So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.

Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.

Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.

Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.

"ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3"

Wewe na yeye wote ni watu washenzy, kama unaweza mkopa Baba mkwe, kuna shida gani yeye kukuomba maana wote ni wanachama wa camp ya Omba Omba msio maadili?

Swali:

Kama ulikua na 30,000 ukampa jamaa, ukabakiwa na 300, ina maana usingempa jamaa 30,000, ulikuwa na 33,000, zingekufikisha wapi? LEO ni tarehe 2 Feb, umepata mshahara juzi tu, unabakiwaje na 33,000 mpaka ufikie mkopa Baba Mkwe?

Kwa nini umkope Baba mkwe 300,000? Huna co workers, majirani wa umri wako, vijana wenzio? Vijana mmkekuwa na mambo ya hovyo sana siku hizi, sijui mmelelewa na nani?
 
Kwahiyo Juzi ulijidai professor chuo kikuu ukawa unaona aibu kuwafundisha mademu, juzi yake ulipigana na konda kisa kakudhulumu miambili, leo umebaki na miatatu kidogo ulale njaa
Jamaa ni muongo muongo fulani hivi.
 
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"

Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.

So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.

Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.

Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.

Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.

Story za vijiweni
 
Umeeleza kuhusu laki tatu ya mkwe au smart gin mbili?
 
Kasuku on the mjengo sasa mkuu hapo shida ni nini labda? kumuazima mwenzio k30 we kubak na miatatu au? Kwan alikulazimisha utoe yote?
 
Huu uzi nahisi nimeingia choo cha walevi ngoja nipite kimya kimya
 
Nakumbuka ulisema wewe una PHD na unafundisha chuo, ni kweli au uliamua kuchangamsha jukwaa? Kama ni kweli huu ujumbe una kufaa:

punguani

/punguwani/

mtu aliyepungua akili

Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma.
 
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"

Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.

So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.

Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.

Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.

Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.
Safi hiyo ndio dawa ya wapuuzi wanaotaka kuwamiliki wengine kisa aliwahi kukusaidia wakati fulani.
 
Back
Top Bottom