Mrejesho

Ukiaambiwa fukuza hutaki, ukiaambiwa acha kutudhalilisha wanaume watuona mafala!
Tena ni wazoefu kuliko wewe!
Haya endelea kuteseka na kusubiri mateso na hata huyo manzi kukufanyia jambo baya!
Sikiliza na tuelewe wanaume wenzako mdau kabla ya majanga kukujia !
 
je demu ni bikira?

Je hana matatizo ya kisaikolojia?lbd alishawah kubakwa?

Je hana mambo ya mizimu yanayomkataza? Pengine akifanya madhara ni kwako anakuhurumia

Ongea nae taratibu kama sio bikira shida ni nn? Je watanguliz wako wapo salama ama walikufa ana kuhurumia mana iyo inshu sio ya kawaida mkuu

Ama akifanya anapata madhara mwilin? Mtafutie mwanasaikologia na daktar wa akina mama
 
Dah wanaume wameisha jamani😭😭😭😭
Wanaume bado tupo huyo Manzi asijaribu kwenda kula vya Wanaume wa Bar anaagiza tu bia za Bei mbaya akimaliza anataka kuondoka lazima atombeke hata kwa nguvu ma'mae zake
 
Hakuna cha mtaalamu wala nini,
Wanaume tumeumbwa na uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa ikiwa tunaitaka naona mwamba anazembea hasa pale anapowekeza akili yake kwenye uchi wa huyo mwanamke bila kukaa na kutafakari kabisa.
Pili, naona watu wengi wenye wanatukana as if kula lile tunda ni mafanikio fulani unaongeza kwenye kabati..Ok emotionally ni mafanikio makubwa sana, lakini physically Men do loose. Nasikitika sana juu ya hili kifupi mpaka sasa Paul Dyabala yuko safe zone.
Japo yeye mwenyewe hajitambui kwanini mpaka now hajaitumbukiza mle ndani..
Sikilizeni enyi wana wa Nuru msiohoji wala kujiuliza lolote kuhusu upande wa giza,, Life starts at 40.
IKiwa unajua hii kauli ina maana gani jihesabu una funguo ya mambo mengi hasa kwenye maisha.
Pia sio vibaya ukilidhihirisha kwa kuiweka maana yake hapa jukwaani kwa faida ya wote, mimi kazi yangu kujibu kuwa ni kweli au sio kweli kwa kile atakachokuwa amejibu mtu.
 
Akiwa mdau wa movie zile pendwa ndo anakua na mzuka wa ngono sasa 😅 huyu ni mapepo tu
 
Kwako Paul dybala

Najua ukiona mtu anakwambia fukuza au achana nae, wakati huo wewe unampenda... Unaumia sana na kuona kuwa hauwezi na utamkosa... Mtu aliyepitia magumu kisha kufanikiwa hutumia mafao yake kwa furaha 100% kuliko yule wa kamseleleko...

Sasa basi...
Deal na mambo yako mfanye kama house girl...

Hayo machungu yaongezee kwenye kufocus na kazi na uache tena kumbembeleza...

Utazoea tu mbona we achana nae kama hataki na wewe usiwe unamshirikisha hata mambo ya kifamilia...

Ikiwezekana acha hata kula hapo home uwe unakula mtaani... Usimpe hela ya mahitaji na chakula mpaka akuombe... Mgeuze kuwa house girl...

Hakikisha humshirikishi chochote... Acha kula hapo home... Focus na maisha yako mwenyewe...


Ulizaliwa peke yako... Huyo mwanamke anaweza kukuacha muda wowote...

Keep busy bro... Kama yeye anakutesa kihivo na wewe mtese kihivo... Dawa ya moto 🔥 ni moto 🔥

Alafu kuachwa au kuumizwa hakuwezi kudumu milele... Utaumia ila kuna siku utakuwa sawa tu... Achana nae na sio lazima umfukuze...
 
Tungekuwa tunabadilishana sura ungenipa yako afu nikakusaidia...
 
Alfu watu tunashauri hata haujibu... Ndio nini sasa umeanzisha Threads hata like amna... Sema fresh tu... Ishi na ushauri wenye unaona unakufaa... Na hapa kuna ushauri aina nyingi... Ukichagua mbaya utaongeza matatizo... Mbake uone kama hutachimbua hata ukimwi... We temana nae kwenye suala zima la ushirikiano katika sekta zote
 
Fukuza huyo
 
Huu ushauri ndio naubeba mkuu
 
Huu ushauri ndio naubeba mkuu
Vizuri... Kama yeye anataka hivo maana yake anataka muwe kama kaka na dada... Basi nunua na ka godoro kengine ili siku ukishindwa kuvumilia unamwacha kitandani unaenda kulala mwenyewe kwenye godoro lako...
Ila ni kama umezoea vitu vya alone kama sisi...
Simple like that ili tu usionekane umemfukuza...

maana ndo anataka uishi hivo
 
MKUU Kama hujamuoa huyo MWANAMKE na anakunyima ngono ujue anakupenda Sana B'se kwa kukupa tunda atakuhalibu wewe kama Baba na kiongozi wa familia na trust me utashindwa kuhandle familia mtakayoijenga

UKITAKA KUANGUKA KATIKA HI DUNIA NA UONE MAISHA NI MACHUNGU HADI UNAINGIA KABURINI NENDA VIBAYA KWA KIUMBE ANAEITWA MWANAMKE

Naludia tena

mwanaume 👉UKITAKA KUANGUKA KATIKA HI DUNIA NA UONE MAISHA NI MACHUNGU HADI UNAINGIA KABURINI NENDA VIBAYA KWA KIUMBE ANAEITWA MWANAMKE📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…