Kwako
Paul dybala
Najua ukiona mtu anakwambia fukuza au achana nae, wakati huo wewe unampenda... Unaumia sana na kuona kuwa hauwezi na utamkosa... Mtu aliyepitia magumu kisha kufanikiwa hutumia mafao yake kwa furaha 100% kuliko yule wa kamseleleko...
Sasa basi...
Deal na mambo yako mfanye kama house girl...
Hayo machungu yaongezee kwenye kufocus na kazi na uache tena kumbembeleza...
Utazoea tu mbona we achana nae kama hataki na wewe usiwe unamshirikisha hata mambo ya kifamilia...
Ikiwezekana acha hata kula hapo home uwe unakula mtaani... Usimpe hela ya mahitaji na chakula mpaka akuombe... Mgeuze kuwa house girl...
Hakikisha humshirikishi chochote... Acha kula hapo home... Focus na maisha yako mwenyewe...
Ulizaliwa peke yako... Huyo mwanamke anaweza kukuacha muda wowote...
Keep busy bro... Kama yeye anakutesa kihivo na wewe mtese kihivo... Dawa ya moto 🔥 ni moto 🔥
Alafu kuachwa au kuumizwa hakuwezi kudumu milele... Utaumia ila kuna siku utakuwa sawa tu... Achana nae na sio lazima umfukuze...