Mrejesho

Mrejesho

Ukiaambiwa fukuza hutaki, ukiaambiwa acha kutudhalilisha wanaume watuona mafala!
Tena ni wazoefu kuliko wewe!
Haya endelea kuteseka na kusubiri mateso na hata huyo manzi kukufanyia jambo baya!
Sikiliza na tuelewe wanaume wenzako mdau kabla ya majanga kukujia !
 
je demu ni bikira?

Je hana matatizo ya kisaikolojia?lbd alishawah kubakwa?

Je hana mambo ya mizimu yanayomkataza? Pengine akifanya madhara ni kwako anakuhurumia

Ongea nae taratibu kama sio bikira shida ni nn? Je watanguliz wako wapo salama ama walikufa ana kuhurumia mana iyo inshu sio ya kawaida mkuu

Ama akifanya anapata madhara mwilin? Mtafutie mwanasaikologia na daktar wa akina mama
 
Dah wanaume wameisha jamani😭😭😭😭
Wanaume bado tupo huyo Manzi asijaribu kwenda kula vya Wanaume wa Bar anaagiza tu bia za Bei mbaya akimaliza anataka kuondoka lazima atombeke hata kwa nguvu ma'mae zake
 
je demu ni bikira?

Je hana matatizo ya kisaikolojia?lbd alishawah kubakwa?

Je hana mambo ya mizimu yanayomkataza? Pengine akifanya madhara ni kwako anakuhurumia

Ongea nae taratibu kama sio bikira shida ni nn? Je watanguliz wako wapo salama ama walikufa ana kuhurumia mana iyo inshu sio ya kawaida mkuu

Ama akifanya anapata madhara mwilin? Mtafutie mwanasaikologia na daktar wa akina mama
Hakuna cha mtaalamu wala nini,
Wanaume tumeumbwa na uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa ikiwa tunaitaka naona mwamba anazembea hasa pale anapowekeza akili yake kwenye uchi wa huyo mwanamke bila kukaa na kutafakari kabisa.
Pili, naona watu wengi wenye wanatukana as if kula lile tunda ni mafanikio fulani unaongeza kwenye kabati..Ok emotionally ni mafanikio makubwa sana, lakini physically Men do loose. Nasikitika sana juu ya hili kifupi mpaka sasa Paul Dyabala yuko safe zone.
Japo yeye mwenyewe hajitambui kwanini mpaka now hajaitumbukiza mle ndani..
Sikilizeni enyi wana wa Nuru msiohoji wala kujiuliza lolote kuhusu upande wa giza,, Life starts at 40.
IKiwa unajua hii kauli ina maana gani jihesabu una funguo ya mambo mengi hasa kwenye maisha.
Pia sio vibaya ukilidhihirisha kwa kuiweka maana yake hapa jukwaani kwa faida ya wote, mimi kazi yangu kujibu kuwa ni kweli au sio kweli kwa kile atakachokuwa amejibu mtu.
 
bro, polee sana kwa hayo yote, ishu yako ni spiritual zaidi kuliko mwilini, mkeo kavamiwa na jini mahaba linalomfanya achukie mapenzi na mume wake, hapa kuna mawili, either mkeo aliwahi kusagana au ni mdau sana wa movie za porno, nina ushahidi wa watu wawili hadi sasa ambao walikua na scenario kama yako, mmoja kapona kabisaa na sa iz anapenda mapenzi kuliko hata mume wake, wa pili alitia kiburi na hadi ikafika hatua akakataa kuolewa mwezi mmoja kabla ya harusi yake bila sababu za msingi.

Njoo PM nitakuelezea vzr
Akiwa mdau wa movie zile pendwa ndo anakua na mzuka wa ngono sasa 😅 huyu ni mapepo tu
 
Kwako Paul dybala

Najua ukiona mtu anakwambia fukuza au achana nae, wakati huo wewe unampenda... Unaumia sana na kuona kuwa hauwezi na utamkosa... Mtu aliyepitia magumu kisha kufanikiwa hutumia mafao yake kwa furaha 100% kuliko yule wa kamseleleko...

Sasa basi...
Deal na mambo yako mfanye kama house girl...

Hayo machungu yaongezee kwenye kufocus na kazi na uache tena kumbembeleza...

Utazoea tu mbona we achana nae kama hataki na wewe usiwe unamshirikisha hata mambo ya kifamilia...

Ikiwezekana acha hata kula hapo home uwe unakula mtaani... Usimpe hela ya mahitaji na chakula mpaka akuombe... Mgeuze kuwa house girl...

Hakikisha humshirikishi chochote... Acha kula hapo home... Focus na maisha yako mwenyewe...


Ulizaliwa peke yako... Huyo mwanamke anaweza kukuacha muda wowote...

Keep busy bro... Kama yeye anakutesa kihivo na wewe mtese kihivo... Dawa ya moto 🔥 ni moto 🔥

Alafu kuachwa au kuumizwa hakuwezi kudumu milele... Utaumia ila kuna siku utakuwa sawa tu... Achana nae na sio lazima umfukuze...
 
Tungekuwa tunabadilishana sura ungenipa yako afu nikakusaidia...
 
Alfu watu tunashauri hata haujibu... Ndio nini sasa umeanzisha Threads hata like amna... Sema fresh tu... Ishi na ushauri wenye unaona unakufaa... Na hapa kuna ushauri aina nyingi... Ukichagua mbaya utaongeza matatizo... Mbake uone kama hutachimbua hata ukimwi... We temana nae kwenye suala zima la ushirikiano katika sekta zote
 
Habari ya jumamosi wakuu...
Hongereni na weekend,moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda.

Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili..wa kwanza ni ule uliohusisha matumizi ya nguvu na ikiwezekana kumfukuza aende kwao...ushauri huu sijaubeba kwa sababu una athari mbaya ambazo manzi anaweza kujibu mapigo kwa kuchoma hata vyeti vyangu au kufanya uharibifu pindi napokuwa sipo na hii hali naiwaza kwa sababu namjua manzi wangu ni kiburi.
Ushauri wa pili ulinihitaji niwe mpole nifocus kwenye mambo yangu niaache kumpa attention.,.sasa mimi baada ya tafakuri nikaamua kuuchukua ushauri wa pili..ila kabla ya kuanza kuufanyia kazi ilinibidi niweke kikao,..bhasi nikarudi zangu mapema nikaandaliwa msosi huku naangalia mchezo wa golden boy..ulivoisha tukala tukalala aisee nilipanga nisimguse ila nilishindwa wakuu nimekosa usingizi huku yeye kalala hadi sa tisa usiku ndipo ikabidi nimuamshe tuongee mustakabali wa hili penzi...aisee kwanza manzi mkali anamaind sijasema muda wote ule wakati anapika na wakati tunacheki tamthilia halafu ili anipe inabidi tupime ngoma na tukipima kila tunapofanya lazim tutumie kinga,nikamwambia sawa hilo halina shida ila kwa huu usiku mimi naishije mbona hujali hisia zangu...akasema mbona kuna watu wengi wanaishi hadi wanaoana hawafanyi mapenzi ...nikamwambia hao unakuta huwa hawaishi pamoja kama tulivyo sisi,,,na hata hivyo mimi ni mwanaume wako unapoongea na mimi unapaswa uwe na adabu sitaki habari ya kupayuka usiku na usinichagulie muda wa kuongea na wewe wakati naona kuna tatizo...halafu mimi sifananishwi na wanaume wengine mimi ni mimi na hao ni wao..nikamuuliza hivi umri huo miaka 25 hujawahi kufanya mapenzi ?akasema amewahi,nami naikamwambia kama ni hivyo iweje mimi kufanya na wewe uone ni issue ngumu?nikamwambia sasa kama ni hivyo usiku huu utanipa kwa lazima kisha nikaenda kwenye droo kuchukua kinga....dah akaenda msalani ...wakuu hapo ndio nilihisi huyu mtu kweli anachukia ngono kiasi hichi huenda lbda na jini au?sababu ili kukwepa azabu ya kuliwa alikaa chooni zaidi ya saa laikini alipotoka msalani alitoka kabisa hadi njee ya fance kisha akaenda kujikunyata..

Yaani nikaona shida yote ya nini hio nikamfata nakumwambia aisee hutokaa usikie nakwambia habari ya ngono tena ...na swala la ngono nimekuachia mwenyewe mpka utakapoona nastahili kupewa...nikalala zangu ila nilinote kitu kwake baada ya kumuwekea msimamo wangu nikamuona kama mtu aliekuwa na mawazo hivi..halafu nilipopitiwa na usingizi nikastuka nikaona kama kajisogeza upande wangu kidogo japo hakunishika...


Sasa wakuu...mimi nifanyeje juu ya huyu kiumbe naona kumuacha ngumu ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.
Fukuza huyo
 
Kwako Paul dybala

Najua ukiona mtu anakwambia fukuza au achana nae, wakati huo wewe unampenda... Unaumia sana na kuona kuwa hauwezi na utamkosa... Mtu aliyepitia magumu kisha kufanikiwa hutumia mafao yake kwa furaha 100% kuliko yule wa kamseleleko...

Sasa basi...
Deal na mambo yako mfanye kama house girl...

Hayo machungu yaongezee kwenye kufocus na kazi na uache tena kumbembeleza...

Utazoea tu mbona we achana nae kama hataki na wewe usiwe unamshirikisha hata mambo ya kifamilia...

Ikiwezekana acha hata kula hapo home uwe unakula mtaani... Usimpe hela ya mahitaji na chakula mpaka akuombe... Mgeuze kuwa house girl...

Hakikisha humshirikishi chochote... Acha kula hapo home... Focus na maisha yako mwenyewe...


Ulizaliwa peke yako... Huyo mwanamke anaweza kukuacha muda wowote...

Keep busy bro... Kama yeye anakutesa kihivo na wewe mtese kihivo... Dawa ya moto 🔥 ni moto 🔥

Alafu kuachwa au kuumizwa hakuwezi kudumu milele... Utaumia ila kuna siku utakuwa sawa tu... Achana nae na sio lazima umfukuze...
Huu ushauri ndio naubeba mkuu
 
Huu ushauri ndio naubeba mkuu
Vizuri... Kama yeye anataka hivo maana yake anataka muwe kama kaka na dada... Basi nunua na ka godoro kengine ili siku ukishindwa kuvumilia unamwacha kitandani unaenda kulala mwenyewe kwenye godoro lako...
Ila ni kama umezoea vitu vya alone kama sisi...
Simple like that ili tu usionekane umemfukuza...

maana ndo anataka uishi hivo
 
MKUU Kama hujamuoa huyo MWANAMKE na anakunyima ngono ujue anakupenda Sana B'se kwa kukupa tunda atakuhalibu wewe kama Baba na kiongozi wa familia na trust me utashindwa kuhandle familia mtakayoijenga

UKITAKA KUANGUKA KATIKA HI DUNIA NA UONE MAISHA NI MACHUNGU HADI UNAINGIA KABURINI NENDA VIBAYA KWA KIUMBE ANAEITWA MWANAMKE

Naludia tena

mwanaume 👉UKITAKA KUANGUKA KATIKA HI DUNIA NA UONE MAISHA NI MACHUNGU HADI UNAINGIA KABURINI NENDA VIBAYA KWA KIUMBE ANAEITWA MWANAMKE📌
 
Back
Top Bottom