Mrejesho

Mrejesho

Habari ya jumamosi wakuu...
Hongereni na weekend,moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda.

Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili..wa kwanza ni ule uliohusisha matumizi ya nguvu na ikiwezekana kumfukuza aende kwao...ushauri huu sijaubeba kwa sababu una athari mbaya ambazo manzi anaweza kujibu mapigo kwa kuchoma hata vyeti vyangu au kufanya uharibifu pindi napokuwa sipo na hii hali naiwaza kwa sababu namjua manzi wangu ni kiburi.
Ushauri wa pili ulinihitaji niwe mpole nifocus kwenye mambo yangu niaache kumpa attention.,.sasa mimi baada ya tafakuri nikaamua kuuchukua ushauri wa pili..ila kabla ya kuanza kuufanyia kazi ilinibidi niweke kikao,..bhasi nikarudi zangu mapema nikaandaliwa msosi huku naangalia mchezo wa golden boy..ulivoisha tukala tukalala aisee nilipanga nisimguse ila nilishindwa wakuu nimekosa usingizi huku yeye kalala hadi sa tisa usiku ndipo ikabidi nimuamshe tuongee mustakabali wa hili penzi...aisee kwanza manzi mkali anamaind sijasema muda wote ule wakati anapika na wakati tunacheki tamthilia halafu ili anipe inabidi tupime ngoma na tukipima kila tunapofanya lazim tutumie kinga,nikamwambia sawa hilo halina shida ila kwa huu usiku mimi naishije mbona hujali hisia zangu...akasema mbona kuna watu wengi wanaishi hadi wanaoana hawafanyi mapenzi ...nikamwambia hao unakuta huwa hawaishi pamoja kama tulivyo sisi,,,na hata hivyo mimi ni mwanaume wako unapoongea na mimi unapaswa uwe na adabu sitaki habari ya kupayuka usiku na usinichagulie muda wa kuongea na wewe wakati naona kuna tatizo...halafu mimi sifananishwi na wanaume wengine mimi ni mimi na hao ni wao..nikamuuliza hivi umri huo miaka 25 hujawahi kufanya mapenzi ?akasema amewahi,nami naikamwambia kama ni hivyo iweje mimi kufanya na wewe uone ni issue ngumu?nikamwambia sasa kama ni hivyo usiku huu utanipa kwa lazima kisha nikaenda kwenye droo kuchukua kinga....dah akaenda msalani ...wakuu hapo ndio nilihisi huyu mtu kweli anachukia ngono kiasi hichi huenda lbda na jini au?sababu ili kukwepa azabu ya kuliwa alikaa chooni zaidi ya saa laikini alipotoka msalani alitoka kabisa hadi njee ya fance kisha akaenda kujikunyata..

Yaani nikaona shida yote ya nini hio nikamfata nakumwambia aisee hutokaa usikie nakwambia habari ya ngono tena ...na swala la ngono nimekuachia mwenyewe mpka utakapoona nastahili kupewa...nikalala zangu ila nilinote kitu kwake baada ya kumuwekea msimamo wangu nikamuona kama mtu aliekuwa na mawazo hivi..halafu nilipopitiwa na usingizi nikastuka nikaona kama kajisogeza upande wangu kidogo japo hakunishika...

Sasa wakuu...mimi nifanyeje juu ya huyu kiumbe naona kumuacha ngumu ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.
Kuna wakati usiruhusu kutumia hisia mahala panapo hitaji akili NB. Maamuzi magumu humnufaisha anaye chukua hatua pekee..🦅 GirlTalk
 
Ukweli ni kwamba mkuu wewe ni FALA ama tahira! Demu alale kwako na asitoe mbunye?

Na kwanini utumie kondomu?
Kama hamjapima alikuja kufanyaje?

Hivi akiri zako zinafanya kazi kweli sawa sawa?

Wanaume hatuko hivyo mkuu wewe ni dhaifu na mlaini kuliko mrenda!!

Huyo manzi kashakusoma na kukuona dekio kabisa ukitoka anaenda kuliwa kama kawaida inasuguliwa Hadi hamu inakata.

Huoni hata aibu kureta mrejesho uliofeli mara2 Sasa.

Bahati kama hizi mbona sisi haziji timua hiyo mbwa hata kama unaipenda. Mwanamke hapaswi kujua unampenda ama humpendi yaani asikuelewe hapo ndo atakuwa na attention kwako.

Ukijioma wewe ndo muhitaji wafaaa

Ndio maana wanaume tunadharauliwa ni Kwa sababu ya wanaume kama wewe!!
 
Fanya km unamkaba mwambie utanipa haunipi uone hajasema nakupa nakupa niachie nikupe
Wala haina haja ya kulazimisha kupewa uchi ,nje kuna mamilioni ya wanawake Mwanaume anayefosi kupewa uchi ni dhaifu na hajitambui kwasababu mwanamke akiwa anakihitaji Uchi unapewa muda wowote unaohitaji na sometime akiona umsumbui lazima ahoji kwanini utaki uchi wake. Sasa mwanamke ashafikia hatua hiyo unalazimisha ni ubwege wa hali ya juu ndo maana nikasema Yeye ni tatizo kuliko huyo mwanamke.
 
Habari ya jumamosi wakuu...
Hongereni na weekend,moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda.

Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili..wa kwanza ni ule uliohusisha matumizi ya nguvu na ikiwezekana kumfukuza aende kwao...ushauri huu sijaubeba kwa sababu una athari mbaya ambazo manzi anaweza kujibu mapigo kwa kuchoma hata vyeti vyangu au kufanya uharibifu pindi napokuwa sipo na hii hali naiwaza kwa sababu namjua manzi wangu ni kiburi.
Ushauri wa pili ulinihitaji niwe mpole nifocus kwenye mambo yangu niaache kumpa attention.,.sasa mimi baada ya tafakuri nikaamua kuuchukua ushauri wa pili..ila kabla ya kuanza kuufanyia kazi ilinibidi niweke kikao,..bhasi nikarudi zangu mapema nikaandaliwa msosi huku naangalia mchezo wa golden boy..ulivoisha tukala tukalala aisee nilipanga nisimguse ila nilishindwa wakuu nimekosa usingizi huku yeye kalala hadi sa tisa usiku ndipo ikabidi nimuamshe tuongee mustakabali wa hili penzi...aisee kwanza manzi mkali anamaind sijasema muda wote ule wakati anapika na wakati tunacheki tamthilia halafu ili anipe inabidi tupime ngoma na tukipima kila tunapofanya lazim tutumie kinga,nikamwambia sawa hilo halina shida ila kwa huu usiku mimi naishije mbona hujali hisia zangu...akasema mbona kuna watu wengi wanaishi hadi wanaoana hawafanyi mapenzi ...nikamwambia hao unakuta huwa hawaishi pamoja kama tulivyo sisi,,,na hata hivyo mimi ni mwanaume wako unapoongea na mimi unapaswa uwe na adabu sitaki habari ya kupayuka usiku na usinichagulie muda wa kuongea na wewe wakati naona kuna tatizo...halafu mimi sifananishwi na wanaume wengine mimi ni mimi na hao ni wao..nikamuuliza hivi umri huo miaka 25 hujawahi kufanya mapenzi ?akasema amewahi,nami naikamwambia kama ni hivyo iweje mimi kufanya na wewe uone ni issue ngumu?nikamwambia sasa kama ni hivyo usiku huu utanipa kwa lazima kisha nikaenda kwenye droo kuchukua kinga....dah akaenda msalani ...wakuu hapo ndio nilihisi huyu mtu kweli anachukia ngono kiasi hichi huenda lbda na jini au?sababu ili kukwepa azabu ya kuliwa alikaa chooni zaidi ya saa laikini alipotoka msalani alitoka kabisa hadi njee ya fance kisha akaenda kujikunyata..

Yaani nikaona shida yote ya nini hio nikamfata nakumwambia aisee hutokaa usikie nakwambia habari ya ngono tena ...na swala la ngono nimekuachia mwenyewe mpka utakapoona nastahili kupewa...nikalala zangu ila nilinote kitu kwake baada ya kumuwekea msimamo wangu nikamuona kama mtu aliekuwa na mawazo hivi..halafu nilipopitiwa na usingizi nikastuka nikaona kama kajisogeza upande wangu kidogo japo hakunishika...

Sasa wakuu...mimi nifanyeje juu ya huyu kiumbe naona kumuacha ngumu ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.

Anatatizo, tafuta Mama mtu Mzima atunguke kwake, kamwe usilazimishe kulala naye bila ruhusa yake!
 
Yawezekana ana wadudu anakuonea huruma ila we unajilazimisha...key pwent ipo kweny hyo kutumia kinga na huku mnaish kinyumba kama mke na mme...shtuka mzee
 
Huyu mwanamke unaishi nae kihalali....?
Ukinijibu nitakupa ushauri....
 
Una zingua ujue nili kuuliza kule una hakika iyo kitu anayo ? Leo isipite hakikisha ume iona kwa macho yako 😂
 
ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.

We unataka uone tatizo gani kubwa zaidi ya hayo? We huoni kama hayo ni matatizo makubwa?

Kijana, ogopa sana mwanamke anaetumia UCHI kama silaha ya kukuchapia! Nimekuambia tena, huyo mwanamke atakutesa sana kila atakapotaka chochote silaha yake itakua ni huo UCHI wake!

We endelea kumng'ang'ania, unachokitafuta utakipata.
 
Back
Top Bottom