Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Mwakitalemwa huyu ni big FalaHuu mrejesho au upuuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakitalemwa huyu ni big FalaHuu mrejesho au upuuzi?
Kuna wakati usiruhusu kutumia hisia mahala panapo hitaji akili NB. Maamuzi magumu humnufaisha anaye chukua hatua pekee..🦅 GirlTalkHabari ya jumamosi wakuu...
Hongereni na weekend,moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda.
Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili..wa kwanza ni ule uliohusisha matumizi ya nguvu na ikiwezekana kumfukuza aende kwao...ushauri huu sijaubeba kwa sababu una athari mbaya ambazo manzi anaweza kujibu mapigo kwa kuchoma hata vyeti vyangu au kufanya uharibifu pindi napokuwa sipo na hii hali naiwaza kwa sababu namjua manzi wangu ni kiburi.
Ushauri wa pili ulinihitaji niwe mpole nifocus kwenye mambo yangu niaache kumpa attention.,.sasa mimi baada ya tafakuri nikaamua kuuchukua ushauri wa pili..ila kabla ya kuanza kuufanyia kazi ilinibidi niweke kikao,..bhasi nikarudi zangu mapema nikaandaliwa msosi huku naangalia mchezo wa golden boy..ulivoisha tukala tukalala aisee nilipanga nisimguse ila nilishindwa wakuu nimekosa usingizi huku yeye kalala hadi sa tisa usiku ndipo ikabidi nimuamshe tuongee mustakabali wa hili penzi...aisee kwanza manzi mkali anamaind sijasema muda wote ule wakati anapika na wakati tunacheki tamthilia halafu ili anipe inabidi tupime ngoma na tukipima kila tunapofanya lazim tutumie kinga,nikamwambia sawa hilo halina shida ila kwa huu usiku mimi naishije mbona hujali hisia zangu...akasema mbona kuna watu wengi wanaishi hadi wanaoana hawafanyi mapenzi ...nikamwambia hao unakuta huwa hawaishi pamoja kama tulivyo sisi,,,na hata hivyo mimi ni mwanaume wako unapoongea na mimi unapaswa uwe na adabu sitaki habari ya kupayuka usiku na usinichagulie muda wa kuongea na wewe wakati naona kuna tatizo...halafu mimi sifananishwi na wanaume wengine mimi ni mimi na hao ni wao..nikamuuliza hivi umri huo miaka 25 hujawahi kufanya mapenzi ?akasema amewahi,nami naikamwambia kama ni hivyo iweje mimi kufanya na wewe uone ni issue ngumu?nikamwambia sasa kama ni hivyo usiku huu utanipa kwa lazima kisha nikaenda kwenye droo kuchukua kinga....dah akaenda msalani ...wakuu hapo ndio nilihisi huyu mtu kweli anachukia ngono kiasi hichi huenda lbda na jini au?sababu ili kukwepa azabu ya kuliwa alikaa chooni zaidi ya saa laikini alipotoka msalani alitoka kabisa hadi njee ya fance kisha akaenda kujikunyata..
Yaani nikaona shida yote ya nini hio nikamfata nakumwambia aisee hutokaa usikie nakwambia habari ya ngono tena ...na swala la ngono nimekuachia mwenyewe mpka utakapoona nastahili kupewa...nikalala zangu ila nilinote kitu kwake baada ya kumuwekea msimamo wangu nikamuona kama mtu aliekuwa na mawazo hivi..halafu nilipopitiwa na usingizi nikastuka nikaona kama kajisogeza upande wangu kidogo japo hakunishika...
Sasa wakuu...mimi nifanyeje juu ya huyu kiumbe naona kumuacha ngumu ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.
Wala haina haja ya kulazimisha kupewa uchi ,nje kuna mamilioni ya wanawake Mwanaume anayefosi kupewa uchi ni dhaifu na hajitambui kwasababu mwanamke akiwa anakihitaji Uchi unapewa muda wowote unaohitaji na sometime akiona umsumbui lazima ahoji kwanini utaki uchi wake. Sasa mwanamke ashafikia hatua hiyo unalazimisha ni ubwege wa hali ya juu ndo maana nikasema Yeye ni tatizo kuliko huyo mwanamke.Fanya km unamkaba mwambie utanipa haunipi uone hajasema nakupa nakupa niachie nikupe
Habari ya jumamosi wakuu...
Hongereni na weekend,moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda.
Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili..wa kwanza ni ule uliohusisha matumizi ya nguvu na ikiwezekana kumfukuza aende kwao...ushauri huu sijaubeba kwa sababu una athari mbaya ambazo manzi anaweza kujibu mapigo kwa kuchoma hata vyeti vyangu au kufanya uharibifu pindi napokuwa sipo na hii hali naiwaza kwa sababu namjua manzi wangu ni kiburi.
Ushauri wa pili ulinihitaji niwe mpole nifocus kwenye mambo yangu niaache kumpa attention.,.sasa mimi baada ya tafakuri nikaamua kuuchukua ushauri wa pili..ila kabla ya kuanza kuufanyia kazi ilinibidi niweke kikao,..bhasi nikarudi zangu mapema nikaandaliwa msosi huku naangalia mchezo wa golden boy..ulivoisha tukala tukalala aisee nilipanga nisimguse ila nilishindwa wakuu nimekosa usingizi huku yeye kalala hadi sa tisa usiku ndipo ikabidi nimuamshe tuongee mustakabali wa hili penzi...aisee kwanza manzi mkali anamaind sijasema muda wote ule wakati anapika na wakati tunacheki tamthilia halafu ili anipe inabidi tupime ngoma na tukipima kila tunapofanya lazim tutumie kinga,nikamwambia sawa hilo halina shida ila kwa huu usiku mimi naishije mbona hujali hisia zangu...akasema mbona kuna watu wengi wanaishi hadi wanaoana hawafanyi mapenzi ...nikamwambia hao unakuta huwa hawaishi pamoja kama tulivyo sisi,,,na hata hivyo mimi ni mwanaume wako unapoongea na mimi unapaswa uwe na adabu sitaki habari ya kupayuka usiku na usinichagulie muda wa kuongea na wewe wakati naona kuna tatizo...halafu mimi sifananishwi na wanaume wengine mimi ni mimi na hao ni wao..nikamuuliza hivi umri huo miaka 25 hujawahi kufanya mapenzi ?akasema amewahi,nami naikamwambia kama ni hivyo iweje mimi kufanya na wewe uone ni issue ngumu?nikamwambia sasa kama ni hivyo usiku huu utanipa kwa lazima kisha nikaenda kwenye droo kuchukua kinga....dah akaenda msalani ...wakuu hapo ndio nilihisi huyu mtu kweli anachukia ngono kiasi hichi huenda lbda na jini au?sababu ili kukwepa azabu ya kuliwa alikaa chooni zaidi ya saa laikini alipotoka msalani alitoka kabisa hadi njee ya fance kisha akaenda kujikunyata..
Yaani nikaona shida yote ya nini hio nikamfata nakumwambia aisee hutokaa usikie nakwambia habari ya ngono tena ...na swala la ngono nimekuachia mwenyewe mpka utakapoona nastahili kupewa...nikalala zangu ila nilinote kitu kwake baada ya kumuwekea msimamo wangu nikamuona kama mtu aliekuwa na mawazo hivi..halafu nilipopitiwa na usingizi nikastuka nikaona kama kajisogeza upande wangu kidogo japo hakunishika...
Sasa wakuu...mimi nifanyeje juu ya huyu kiumbe naona kumuacha ngumu ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.
Sasa wakuu...mimi nifanyeje juu ya huyu kiumbe naona kumuacha ngumu ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.
Huyu mwanamke unaishi nae kihalali....?Habari ya jumamosi wakuu...

Nilivyoona heading Mrejesho nikajua kua kachukua maamuzi ya Kianaume,kumbe kaendeleza upuuzi wake pale alipoishia.Huu mrejesho au upuuzi?
Mkuu sio chai hili tatizo ni la muda mrefu tangu mwaka jana amekuwa analeta humu jf na tumeshamshauri aachane nae but mbishiKama hii sio chai nasi Mzee naweza sema wewe ni tatizo kuliko hata huyo mwanamke.
ukitoa kiburi na kunyimwa uchi sijona tatizo lingine.
Kijana anaogopa kukata utepe kuku wake anataka aanze kumshikia minatiTazama kijana huyu!!