Hakuna mtu alikuwa mzigo pale CHADEMA kama huyu jamaa. Aliulizwa na mwandishi kuwa kama Tundu Lissu hafai kuwa hata mwenyekiti wa chama chenu mliwezaje kumteua kuwa mgombea urais 2020?Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .
Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .
Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa
Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Ngoja ubwabwa uchacheKwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .
Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .
Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa
Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Yaani huyu Devota Minja na Mrema ndiyo wanaenda kupambana na CCM?Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .
Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .
Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa
Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Hapa ndipo mtego ulipo.Kila la kheri Mwenezi mpya CHAUMA,ila sasa ADUI awe CCM na si CDM..mkilitekeleza hili itakuwq safi ..ingawa moyo wangu una MASHAKA
Hashim Rungwe ameingizwa choo Cha kike!Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .
Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .
Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa
Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
wale ni washenzi wanaweza wakampindua mzee wa watuWasije wakampindua mwenyekiti wao!