PreGE2025 Mrema: CHAUMMA inaenda kupambana na CCM kweli kweli na kuwa sauti ya UMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Wananchi wanawasubiria huku wajue sera zao.
 
Kina mrema,kigaila,mwalimu nk. walioingia chauma hawana ushawishi hata kushawishi watoto wa chekechea hawawezi waliwekwa kwenye sekretariet ili chama kiwatumetume kama mayaya😁😁 ndomana hawajawahi gombea nafasi ya maana Kwa wananchi wakapata
 
Labda wapambane na Mchungaji Msigwa siyo CCM 🐼
Hahahaaaaaa yaani wanatia aibu. Alafu now days watanzania Wana akili sana kwenye kiwagundua wakanguzi wa siasa nchini kwetu. Hao Malaya wa kisiasa hawataamini. Waseme tu ccm iwape ulaji Basi. Kama huyo devota ni box kabisa morogoro haiimaliza chadema. Baadaye ya kuona wapambanaji wengi hawamkubali. Alipewa ubunge vita maalum kwa kutoa uchi. Mwisho akafumaniwa na mumewe Bamilesi hapa dodoma akaachika.
Hapo puna kelele za kishangiliwa Yesu wanafikili ni wao wanashangiliwa.
Chadema iliwabeba Sasa wametoka watajiona jamii inavyowachukulia kiuhalisia Sasa
 
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Ccm kupambana na ccm,mshawaona wabongo majuha sn.
 
hakuna chauma hapo hao njaa wamefuata cha kijiko
 
kama ana taka sauti ya umma akajiunge na SAU ndo inahiyo falsafa,siyo chauma aache kudandia
 
Hahahaaaaaa yaani wanatia aibu. Alafu now days watanzania Wana akili sana kwenye kiwagundua wakanguzi wa siasa nchini kwetu. Hao Malaya wa kisiasa hawataamini. Waseme tu ccm iwape ulaji Basi. Kama huyo devota ni box kabisa morogoro haiimaliza chadema. Baadaye ya kuona wapambanaji wengi hawamkubali. Alipewa ubunge vita maalum kwa kutoa uchi. Mwisho akafumaniwa na mumewe Bamilesi hapa dodoma akaachika.
Hapo puna kelele za kishangiliwa Yesu wanafikili ni wao wanashangiliwa.
Chadema iliwabeba Sasa wametoka watajiona jamii inavyowachukulia kiuhalisia Sasa
Wakapewe ukuu wa wilaya huko. Hayo majimbo CCM tumekubaliana hapati mtoto wa kambo🤣🤣🤣🤣
 
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Ukichukua G55 wote hawana impact kama Zitto Kabwe mmoja. Zito aliondoka CDM na alikuwa anapendwa kweli kweli wakasema ndio mwisho wa CDM leo kiko wapi na huyo Zitto Kabwe kapotea kama Dr. Slaa. Halafu leo eti G55 viongozi wa matawi huko ndani ndani Bonyokwa wanahama chama. Waseme wamekipunguzia watu mizigo chama. # No reforms no election
 
Na ukichukua hao g55 plus Zito bado walikua hawamfikii Slaa.
 
Wasisahau ishu nzima ya ubwabwa, kwenye kampeni zao ubwabwa usikose.

Wawe wabunifu, walete biriani pia.
 
Samahani kwa kumtaja marehemu, Hayati yule wa Mtama alivyotoka ccm na kwenda ACT alikuja na majigambo kama hayo na mikakati hewa mingi mpaka kupanga safu za Ikulu. Kilichompata ni kama ule mfano wa Heche wa mwanapunda aliyembeba bwana Yesu kwamba baada ya kumshusha yesu yule punda alirudi peke yake bila yesu, bakola alizokula, ni siri yake.
Nikuambie dogo; hapo ndio kisiasa umejifilisi mwenyewe na ujilaumu kwa ujinga wako.
NAKUAMBIA HIVI NA UJITAFAKARI; KWENYE SIASA WEWE LIABILITY NA SIO ASSET. HUNA MVUTO WALA USHAWISHI KWA WANANCHI. MKUMBUKE YULE PUNDA UTAKUJA KUNIAMBIA
 
Aibu Sana Sana Baadaye Watamkimbia Hashim Rungwe Spunda Na Ubwabwa
Ukweli ni kuwa hicho CHAUMMA kikiija kuwa na nia nzurii na ya kweli kwa wananchi wa kawaida, kitakuwa TISHIO kwa CCM na itabidi nacho kihujumiwe kama CDM kilivyohujumiwa.
 
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
soon,
agenda ya mikutano yote ya chadema Taifa kuanzia sasa inakua ni CHAUMA na mipasho kwendra mbere 🤣

na hiyo itafanya popularity ya CHAUMA kuongezeka mno kitaifa. Siasa ni sayansi ya sanaa ndrugu zango 🐒
 
Back
Top Bottom