Hahahaaaaaa.unenichekesha sana.Wakapewe ukuu wa wilaya huko. Hayo majimbo CCM tumekubaliana hapati mtoto wa kambo🤣🤣🤣🤣
mkuu lakini hata mbwa wanakula makombo yanayobaki kwenye meza za mabwana zao.
Au ndiyo siyo vizuri kuchukua chakula Cha watoto na kuwapa mbwaaaaa?.