PreGE2025 Mrema: CHAUMMA inaenda kupambana na CCM kweli kweli na kuwa sauti ya UMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakapewe ukuu wa wilaya huko. Hayo majimbo CCM tumekubaliana hapati mtoto wa kambo🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaaaa.unenichekesha sana.
mkuu lakini hata mbwa wanakula makombo yanayobaki kwenye meza za mabwana zao.
Au ndiyo siyo vizuri kuchukua chakula Cha watoto na kuwapa mbwaaaaa?.
 
Kwahiyo hao wote nao watanadi sera za Ubwabwa? Mjue kuna namna hata watu ambao walikua wanachukia chadema na kuhisi mambo mengi tofauti tofauti wataanza kuamka sasa
 
Ningekuelewa kama ungewaambia CDM nao waelekeze nguvu zao CCM badala ya G-55 na Chaumma. Lakini hiyo itakuwa ngumu maana hata hapa haukuweza kujizuia kuwasemea ovyo!

Amandla...
 
Hakuna mtu alikuwa mzigo pale CHADEMA kama huyu jamaa. Aliulizwa na mwandishi kuwa kama Tundu Lissu hafai kuwa hata mwenyekiti wa chama chenu mliwezaje kumteua kuwa mgombea urais 2020?
Badala ya kujibu swali alishikwa na kigugumizi
Akanywe KVANT Zake kule barakuda
 
Watanzania si wajinga kiasi inachofikiria Wewe. Kuna mtu anapambana na mwajiri wake! Fara kweli wewe
 
Huuu ndio wakati wakujiunga na Cha Chauma kadi zinapatikana kwa wingi!!!!!!!

CHADEMA imeuzwa kwa WaKenya !!!!!

lengo lao kuweka kibaraka wao TZ WaKenya wanataka kugawana Ardhi yetu !!!!

Kenya kung,anga.ania Sheria ya Mkoloni Mwingeleza imepelekea 85% ya wa Kenya awana Ardhi !!!!

tofaut na Tanzania wanchi ndio wanamiliki Ardhi yao kubwa zaid !!!!

Janja yao ya kwanza kupitia jumuiya ya Est Afrika ilibuma chini ya Mzee Jakaya kikwete !!!!

sasa wanataka kuweka kiongozi wao yani Kibaraka imefaamika !!!

kuna mpango WaKenya kuja kuandamana kwaniaba ya Chadema !!!

kwasasa ndugu zangu tuwe makini na Siasa za Chadema !!

Lisu kuponea majeraha Hospital jijini Nairobi sasa anadeni kwao WaKenya anataka kuwapa Tanzania mazima!!!!
,
 
Huyo popoma.asiwafanye watanzania wajinga - chama cha Serikali hicho hata mtoto mdogo wa darasa la nne analitambua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…