CCM huwaita wanaume wenzao mabeberu utazani wao CCM ni mbuzi jikena 60% ya bajeti yetu inategemea mabeberu-basi magufuli na serikali yake inatumika na mabeberu
Mrema wa kweli amebakia kwenye hiyo picha ya khanga!JF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
JF Salaam,

Umeliona beberu mkuu? Hapo lipo na nani?Lisu katumwa na mabeberu.
Zito anatumika na mabeberu.
Mimi siwezi kupoteza mbs zangu kwa huyu jamaa hajawahi kuzungumza la maanaJF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
Hao tayari tumeshawanyoosha sema jingine.Umeliona beberu mkuu? Hapo lipo na nani?View attachment 1538169
Hizo propaganda mfu humu jukwaani zimeshapuuzwa!Kawadanganyeni mazwazwa wasio na elimu!Lisu katumwa na mabeberu.
Zito anatumika na mabeberu.
Mrema huna jipya jimbo limekushinda na chama kimekushinda wewe komaa na huo uparole wakati unalea wajukuuJF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
Huyo anajulikana kama BABU JINGA.Rubbish.
Pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo uliyewaroga Watanzania toka.
Hii kauli niliisikia 2000 nikiwa mdogo kuwa ukimchagua mpinzani akileta vita watakaohangaika ni wamama na watoto
Mbon yeye ana vyama viwili na hatusemi?JF Salaam,