Mrema: Kuna wagombea wana"VISA"mfukoni na nyumba za kuishi ughaibuni, mnaowashadadia mkiharibu amani ya nchi mtakimbilia wapi? Nanyi mna pa kwenda?

Mrema: Kuna wagombea wana"VISA"mfukoni na nyumba za kuishi ughaibuni, mnaowashadadia mkiharibu amani ya nchi mtakimbilia wapi? Nanyi mna pa kwenda?

Nani ana Muda wa kumsikiliza kichaa huyo??? Eti Chama chake kimempitisha magufuli kugombea uraisi!!! Huyu ni Dr Shika aliyechangamka tu hana lolote!!!

Anatuletea propaganda za kipindi cha ujamaa hapa??? Anafikiri zitafanya Kazi katika zama hizi za kizazi cha karne ya 21 cha sayansi na teknolojia??
 
JF Salaam,

Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.

Mfuatilie kwa makini

Mrema wa kweli amebakia kwenye hiyo picha ya khanga!
 
JF Salaam,

Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.

Mfuatilie kwa makini

Huyo nae kumbe bado yupo muda wake ulishapita ni vema akawa mtazamaji
 
Na yeye aliambiwa na Mkapa anatumika na Mabeberu aleta vurugu na uvunjufu wa amani,mzee wa kilalacha hahahahaaa

Lissu acha na VISA na makazi huko Ulaya maana mpaka sasa hatujui watesi wake waliompiga risasi 16 wananga nini zidi yake. Mpaka sasa hakuna aliyekamatwa kwa jaribio LA mauaji yake.
 
Duh kumbe Lisu kiboko. Yani ccm wame ajili majeshi yao ya akiba kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa.
 
Lisu katumwa na mabeberu.

Zito anatumika na mabeberu.
Umeliona beberu mkuu? Hapo lipo na nani?
beberu2.jpg
 
JF Salaam,

Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.

Mfuatilie kwa makini

Mimi siwezi kupoteza mbs zangu kwa huyu jamaa hajawahi kuzungumza la maana
 
Vurugu zikianza tunazuia ndege zote kuruka na kutua tubaki wote tanzania tuone.
 
JF Salaam,

Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.

Mfuatilie kwa makini

Mrema huna jipya jimbo limekushinda na chama kimekushinda wewe komaa na huo uparole wakati unalea wajukuu
 
Pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo uliyewaroga Watanzania toka.
Hii kauli niliisikia 2000 nikiwa mdogo kuwa ukimchagua mpinzani akileta vita watakaohangaika ni wamama na watoto

Toka awamu hii imeingia madarakani imegeuza nchi enzi za baada ya uhuru. Msamiati mingi ni ya kizee, mara mabeberu, mara kuna watu watakimbia nchi baada ya kuvuruga amani. Na amani inayoongelewa hapa ni kuhakikisha ccm inatangazwa washindi kwa lazima, na wapinzani wakae kimya ili amani iwepo.
 
JF Salaam,

Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.

Mfuatilie kwa makini

Mbon yeye ana vyama viwili na hatusemi?
 
Back
Top Bottom