Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitu baya kuliko wote ni lile linaloongea bila kujua kazi ya madiwani na wabunge katika kuwasilisha mahitaji ya wananchi, kama wewe.
Halafu hapa tunamuengelea John Pombe Magufuli na utendaji wa serikali yake, hatuongelei CCM tangu uhuru wala CHADEMA tangu 1992
Cc mkorinto
Acha kujichetua basi na kama hujui kazi ya madiwani na wabunge heri unyamaze au uulizeKwa uelewa wako mbunge analeta maendeleo wakati inayo kusanya kodi ni serikali, unafahamu makusudi ya serikali kukusanya kodi?
Kazi za serikali yoyote ile ni kufanya administrative roles na development roles bila kujali inaongozwa na chama gani.
![]()
![]()
Unaitenganishaje ccm ya Nyerere na hii ya leo? Kwamba unataka tuone ni vitu viwili tofauti?
Huyu Meko unayetaka kutuaminisha ameshushwa leo sio yule aliyekuwepo kwenye baraza la mawaziri tangu kipindi cha Mkapa?![]()
![]()
Atakuwa wa nne hao watatu ndio hawatabiriki nani atashindaIla nina uhakika atapata kura za kutosha hata kuwa wa mwisho!
Acha kujichetua basi na kama hujui kazi ya madiwani na wabunge heri unyamaze au uulize
Tatizo lenu kubeza kila mtu na kuona watu wenu ni bora zaidi ya wengineMrema anawasindikiza wenzake
Kweli Mrema wa kumshinda Kimei au Mbatia?mende kuangusha kabatitatizo lenu kubeza kila mtu na kuona watu wenu ni bora zaidi ya wengine
Nadhani Magu mwaka huu hatafika kabisa kufanya kampeni K'Njaro, anachukia mno watu wa huko na sababu hasa hazijulikani.Kumbe ccm bado inapendwa Kilimanjaro ?
Sasa ilikuwaje awamu hii magu amekuwa na chuki sana kwa raia za kilimanjaro
Mrema anawasindikiza wenzake
Uzuri wa siasa kupindua maneno yako uliyoahidi sio kazi.Akishinda natembea uchi
.😀Uzuri wa siasa kupindua maneno yako uliyoahidi sio kazi.
akishinda watu wakikuuliza unawaambia tu ndio nishatembea uchi nikiwa ndani kwahiyo nimetekeleza nilicho ahidi.
Mbatia ujumbe wako huuKama wabunge ambao ndio wawakilishi wa wananchi hawawakilishi watu wao wala kudai maendeleo yao wanasubiri hadi kampeni zianze wakifika huko kuomba kura na kuambiwa hatuna shule au madarasa ndio wanaanza kudanganya kwamba shida ni serikali hii haikubaliki.
Ndio maana wanaambiwa wakirudia kuwachagua maendeleo hakuna
Itakuwa pisi za kichagga zilikuwa zinamgonga pesa ndefu basi akajenga chuki na kila mtu wa Kilimanjaro ndio akaona kwa kuwakomesha akamfanya second lady yule mpareNadhani magu mwaka huu hatafika kabisa kufanya kampeni K'Njaro, anachukia mno watu wa huko na sababu hasa hazijulikani.
KAZI NYINGINE YA MBUNGE NI kumlamba viatu bwana Magufuli ili apewe pesa za miradi ya maendeleo. Hiyo ni kulingana na maelezo ya Betina Tulia Ackson MwambeyaOkay yawezekana sijui, kazi ya mbunge ni ipi mama D?
Mbunge ni mtu anaye chaguliwa na wananchi ili kuwawakilisha bungeni badala ya wao wote kwenda bungeni.
Kwa uelewa wangu kazi ya mbunge ni kuwasilisha kero/matatizo/changamoto/mahitaji ya jimbo lake kupitia bunge.
Pia awapo bungeni, ana kazi ya kuishauri, kuikosoa, kuisimamia serikali na kutunga sheria. Kujadili na kutoa mapendekezo kwenye taarifa za mapato na matumizi. Awapo jimboni anashiriki vikao vya madiwani kama mjumbe kutunga sheria ndogo, kujadili mapato na matumizi ya jimbo.
Je kuna zingine tofauti nz hizi unazo zifahamu?
🤣🤣Akishinda natembea uchi
Mrema anawasindikiza wenzake
Kote huko CCM haipo Kimei kaingizwa chakaKimei atapewa kura na watu wa marangu mtoni, Mrema atapewa na watu wa kilema na Mbatia Kirua, kura za nyongeza zitatoka kahe, mwika n.k