Uchaguzi 2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

Uchaguzi 2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

Grace Kiwelu wa CHADEMA atashinda kwa sababu anapambana na Wanaccm watatu ambao bila shaka watagawana kura za CCM , yeye atapata kura zote za CHADEMA na wapinzani wengine .

Hili ndio laweza kuwa jimbo jepesi zaidi kwa CHADEMA labda kuliko majimbo mengine
 
Hivi Grace Kiwelu anagombea jimbo la Vunjo ama jimbo la Moshi vijijini?
Anayegombea msh vijijini ni nani kwa upande wa CHADEMA
 
Inakuwaje wana CCM wachaga wako vyema mpunga, wakati maeneo mengine wako vinginevyo? Na safari hii wamejikusanya sijui jamaa amewaambia nini?
Wachaga wana CCM hawanaga akili.. wanaboa sana maana misimamo yao huwa haibadiliki.. typical conservative
 
Mrema anawasindikiza wenzake
Hichi kibabu ni mamluki wa CCM.
Kilishasema kwenye Urahisi kina muunga mkono Rais wa CCM anayemaliza muda wake!!
Sasa kinashindwa Nini KUMUUNGA MKONO MGOMBEA UBUNGE WA CCM...???
Kuna Wapinzani hapa Tanzania kuwasikiliza ni KICHEFUCHEFU...!!!
 
Kuna kero gani mpya nchi hii.nchi imekua ikiongozwa na chama kimoja miaka mingi kabla ya ujio wa vyama vingi ina maana unataka kusema kipindi hicho wabunge wa ccm walikua hawapeleki hizo kero serikalini/bungeni.lakini mbona kero bado zipo na nyingi ni zile zile zinazosemwa miaka yote.Tatizo ni serikali yenyewe wala sio wabunge.mbunge ni tarishi tu.
Nitawashangaa sana wapinzani watakao jinadi kwa wananchi kwamba serikali haijafanya kazi ilihali wamekua wabunge kwa miaka na hakuwahijua hizo kero
 
Hichi kibabu ni mamluki wa CCM.
Kilishasema kwenye Urahisi kina muunga mkono Rais wa CCM anayemaliza muda wake!!
Sasa kinashindwa Nini KUMUUNGA MKONO MGOMBEA UBUNGE WA CCM...???
Kuna Wapinzani hapa Tanzania kuwasikiliza ni KICHEFUCHEFU...!!!
Jana kimesema kura ya uraisi apewe magufuli na ya ubunge apewe dr. kimei, maana yake ni kuwa kimeshajitoa
 
Jana kimeema kura ya uraisi apewe magufuli na ya ubunge apewe dr. kimei, maana yake ni kuwa kimeshajitoa

Magufuli na CCM yake walishajua udhaifu wa baadhi ya Wapinzani! Uroho wa madaraka na Fedha. Ndiyo maana wengi wa baadhi ya Wabunge na Madiwani upinzani wamehamia CCM baada ya aidha KUNUNULIWA/KUHONGWA/RUSHWA na au kuahidiwa VYEO!!!
Kibabu Lyatonga Mrema kilishatulizwa na Jiwe kwa KUPEWA HONGO YA MWENYEKITI WA PAROLE......!!!
 
Back
Top Bottom