Mrembo aacha kazi apate muda wa kumnyonyesha mpenzi wake

Mrembo aacha kazi apate muda wa kumnyonyesha mpenzi wake

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36.

Mwanamke huyo, ambaye awali alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa baa, alidai kuwa aliamua kuacha kazi ili aweze kuzingatia mpango huo wa kunyonyesha na kukamua maziwa mara kwa mara.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, MULFORD alifuata ratiba maalumu ya kunyonyesha na kukamua maziwa kila baada ya takribani saa mbili, kwa lengo la kuendelea kuzalisha maziwa ya kutosha. Tukio hilo limeibua mijadala mbalimbali kuhusu mipaka ya uhusiano ya kimapenzi na uchaguzi wa watu wazima wanaokubaliana kufanya hivyo.
1788334490329.png
 
Duh, lakini mwisho wa siku if they are both consenting adults na hawamuumizi mtu, ni maisha yao. Kila mtu ana namna yake ya ku define love na privacy zao, ingawa kiukweli inashangaza sana.
 
hao ndio wanwake wa kuoa
 
Back
Top Bottom