Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

Natafakari kusudi la kuimbwa ulimwengu na viumbe vyake.

Mrembo anayejiamini amependezwa tutoke wote pamoja


Hizi kauli mbona zinakinzana mkuu
 
Alivyoruka sasa 🤣🤣
Yani mshamba me ananivunja mbavu, kila dem anamtaka yeye humu!!
🤣🤣🤣Yaani mpaka nikacheka

Simtaki fifi🤣🤣🤣
Wakati muda kidogo alisema anamsubiri amuoe 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…