Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 akupe iliyo naked aache kona kona🤣🤣🤣
nilimuona kaficha macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 akupe iliyo naked aache kona kona🤣🤣🤣
nilimuona kaficha macho
🤣🤣🤣🤣Oyooooooooo!! Kula chuma hiko
Nitawafunika na khanga wasiwaone
🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye kuomba picha kanipiga na kitu kizito kichwani
Oyooooooooo!! 🤣🤣🤣ni kweli binti macho unanidatisha
Ms macho acha usumbufu basi 🤣🤣🤣Haya malizana na Lamony, umwambie nani alikuomba picha ndio tuongee sasa🤣🤣🤣
Shem wako anaona aibu😂Ms macho acha usumbufu basi 🤣🤣🤣
Shem wangu kakuelewa ya nini kutafuta ugomvi lakini 😂
Komaa km kaka ako 🤣🤣hayanaga mbabe jamani
Ndio mambo ya Pwani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo ya khanga tena
sina hela sina umaarufuKomaa km kaka ako 🤣🤣
Subiri nimuitie kaka ake amuweke sawaShem wako anaona aibu😂
Utayaweza hapo hapo 🤣🤣🤣🤣🤣
Siyawezi
Sweet naomba ushee locationNipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake.
Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu.
Nawatakia jumapili njema,
Nawasilisha.
Achana naye, yeye mwenyewe mpk leo hajui kapendewa nini?? 🤣🤣🤣sina hela sina umaarufu
Uchomoe battery ya kwamba anaombwa picha piemuni.Subiri nimuitie kaka ake amuweke sawa
Me nataka kucheza Selemani km mama Wema na kaka ake 🤣🤣🤣
Halafu me ndo msoma speech nichomoe betri 🤣🤣🤣
Nitajua hapo hapo ni siri yangu 🤣🤣Uchomoe battery ya kwamba anaombwa picha piemuni.
Ymomal[emoji23]Nifungulie na me code basi nna shida naye [emoji2]
Huyo mshamba huyo😂😂😂Nitajua hapo hapo ni siri yangu 🤣🤣
🤣🤣🤣 hebu njoo kwa mara nyingineYmomal[emoji23]
Nataka nifunike ile ya mama sepenga siku hiyo 🤣🤣🤣Huyo mshamba huyo😂😂😂