Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu anonekana kama "kuku wa kienyeji" aliyejifoji!
Halafu anonekana kama "kuku wa kienyeji" aliyejifoji!
Tembelea viwanjani uwaone mwana wane acha kuka nyuma ya keyboard muda woteMkuu hawa mashosti unakutana nao wapi ?
Ndio mkuu nina kitambulisho changu cha tokea mwaka 2005 I am sure bado kinatambulika kama cha mpiga kura halaliMfunyukuzi umejiandikisha kupiga kura?
Jamani mambo mengine yanatia kinyaa huyo hata bure sitakii
Mkuu naona utakuwa umesahau ile methali isemayo mchagua jembe................................!